The Guardian: Wamasai kufukuzwa kupisha Mwarabu (UAE) kuwinda Wanyama!

Nchi inauzwa vpande vpande...ngorongoro mwarabu, gesi ya mtwara mchina, juz waspain wamepewa bahari wavue,...loliondo, sadani
 
Mali inayochukuliwa na maendeleo unayoyasema ni mbingu na ardhi, havina uhusiano kabisa.
Maendeleo yanayotokana na kodi na mirabaha ya uchimbaji madini yanaendeleza nchi nzima sio geita na Shinyanga tu

Ama na hao wachimbaji wa madini tuwafukukuze basi
 
Umemaliza mjadala.Umeelezea vizuri sana.
 
Majaliwa alisema wamasai wanaondoka kwa hiyari. Huyu baba mbona muongo hivi
 
Hili tulishalijua ilikua ni suala la muda tuu ile ziara ya mama ushungi kule dubai ilikuwa kwenda kukamilisha biashara.
 
Ni wapumbavu sana hawa watu

Hilo gazeti la The Guardian leo limekuwa la maana, lilipokuwa likiandika ukichaa wa Magufuli lilikuwa likiitwa kupeperushi cha mabeberu wanaotuonea wivy
uwe na adabu kdg.....
 
Ww ni k
 
Point is..., watu wanahama ili kifanyike nini ?

Kuhama wahame ili hifadhi ibaki kwa kila atakaye aende kuangalia ila sio wahame ili watu waende kujifunza kulenga shabaha na kutupia vijirupia ambavyo vinaliwa na mbuzi wenye kamba ndefu
 
Haya kajiunge Umoja Party uwatoe basi
Nchi hii imewahi kuwa na wahuni zaidi ya Magufuli, Mpina, Makonda, Sabaya n.k?
 
Point is..., watu wanahama ili kifanyike nini ?

Kuhama wahame ili hifadhi ibaki kwa kila atakaye aende kuangalia ila sio wahame ili watu waende kujifunza kulenga shabaha na kutupia vijirupia ambavyo vinaliwa na mbuzi wenye kamba ndefu
Hilo la Waarabu mnalithibitisha vipi kama sio uzushi wa watu?
 
Unachokaririshwa wewe ni ecology tu... km serikali ina nia njema kwann ifiche kinachoendelea? Mkataba wa uwindaji umesaini kwa terms zp? Na anagua lile lidege lao linalokuja kubeba wa nyama kwamba wanyama waliwindwa ndio wanaoruhusiwa kwenye kibali?

Maswali ni mengi kuliko huo uelewa wako
 
Hilo la Waarabu mnalithibitisha vipi kama sio uzushi wa watu?
Najibu hoja iliyopo mezani ambayo imejibiwa na hoja kwamba iwapo watu wanahama kwa maendeleo mengine kwanini wasihame kwa hili ?

Sasa swali ni hili ni nini / lipi (ili tuone kama tunaruka majivu na kukanyaga moto)
 
Ndiyo maana dealer wa pembe kaanza ziara kaskazini chap kuja kuweka mambo sawa wanyama waanze kupanda ndege
 
Ungekuwa unajua ukubwa wa eneo linalotaka kuchukuliwa na idadi ya watu wanaotakiwa kuondolewa!, siyo sehemu kama ya kupitisha bomba la gesi. si sawa na njia ya kupitisha umeme au eneo la kujenga bwawa. Ni eneo linaloishi wanyama wengi wa aina mbali mbali pamoja na binadamu na mifugo yao, can you imagine the size!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…