The Highs & Lows katika burudani na 'ubuyu' 2016

Hongera Nifah kwa uchambuzi uliotukuka!
Haichoshi.....nimekupenda bure
Kwa thread hii ni lazima nipokee pongezi zenu nyingi sana watoto wa Tandale.

Lakini tukikutana ktk threads nyingine nikisema msiyotaka kuyasikia mnaporomosha matusi mazito mazito
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sio case anyway, I'm built for this shi*t.
Shukraan [emoji120]
 
Kwanini isiwe kwa Ali sipokuwepo tutamsahau Diamond?

Suala la Diamond na Ali Kiba ni sawa na ecosystem i.e wote wanategemeana.

Ni nani anayejua kama endapo Ray angetangulia mbele ya haki badala ya Kanumba hali ingekuwaje?
Ray angetangulia kanumba angebaki (mfano tu wakuu) kusingekuwa na kutetereka kwenye industry coz Ray ndio alikuwa anasafiria nyota ya kanumba but kanumba ndio alikuwa na impact kwa kusogeza mbele industry.. Am sure unakumbuka harakati zake..

The same kwa diamond na kiba! Kiba anasafiria nyota, ndio maana hata ile miaka mitatu "aliyostaafu" Bongofleva haikutikisika na aliporudi aliikuta Chibu ameivusha kwenda level za juu Afrika..
 

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzaramo ungeiandika wewe Wallah vijana wa Madale wangeisoma namba leo.

Wema ni sikio la kufa.
Period [emoji135]
 
Umejibu tofauti na ulichokisema mwanzo mkuu.
Hata hivyo this time uko na point [emoji122]
 
Unasahau Kanumba na Ray walitoka pamoja kaole na movie zao za mwanzo walikuwa wakiingiza pamoja.

Na kabla yao soko la movie alikuwa juu bongo lilikuwa kawaida mno wao ndio waliliamsha.

Ali na Nasibu ni story tofauti...Wakina A.Y,Jide,Ali,Cpwa,Witness walikuwa washaanza kutusua nje kabla ya Dimond kuja kilichotokea Dimond alikuja na nguvu kubwa zaidi yao.

Damu changa iliyopata management nzuri ndio sababu ya Dimond kwenda mbele kwa kasi ya haraka namna ile ila huwezi sema bila yeye Bongo flava inakufa maana ilikuwepo kabla yake na mifano ipo mingi tu.
 
Umejibu tofauti na ulichokisema mwanzo mkuu.
Hata hivyo this time uko na point [emoji122]
Nadhani Sasa Tunakubaliana Muziki Wa Tanzania Haujakua Kama Inavyosemwa.

- Wasanii Wapunguze Majungu Na Beef Za Kijinga - Wafanye Kazi Kwa Ubunifu.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
OMG!mzaramo hujawahi kuongea point kama leo!
Kungekuwa na vitufe vya reputation power kama zamani ningeshabonyeza kukuongezea kwa madini haya uliyomwaga hapa.

[emoji122] [emoji122] [emoji122] agiza chochote hapo,nakuja kulipa fastaaaaaa [emoji6]
 
Nadhani Sasa Tunakubaliana Muziki Wa Tanzania Haujakua Kama Inavyosemwa.

- Wasanii Wapunguze Majungu Na Beef Za Kijinga - Wafanye Kazi Kwa Ubunifu.
Bado haujakuwa kwa viwango hasa vya kimataifa, tuna njia ndefu ya kuwafikia Wanaigeria na Waafrika Kusini kisha tuwaze kutoboa mambele.

Sure [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…