The Highs & Lows katika burudani na 'ubuyu' 2016

Haya mama
 

Nimkumbuka mbali leooo hahahahahah

Ngoja niusake ule Uzi maalumu wa kiba alivyotoaga video uliosaabisha World War III

Hahahahahaha
 
Hahahaaaaaaaah wewe mwendawazimu sana ujue? Mimi hata huwa sitaki kuurudia! [emoji24] [emoji85]

Halafu ujue nini?Tuzifute bwana,hazileti picha nzuri [emoji17]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ngoja zibaki baki kidogo alafu tutazifuta [emoji6]
 
Au tuziache tu kukeep record love [emoji4].
Jumapili tuzisome pamoja kwa mara ya mwisho then tunazidelete.. [emoji1] [emoji1]

Ila nitakugonga makwenzi kila tukisoma comment ambayo uliniandama [emoji35]
 
Kichwa kitajaa manundu maana ni nyingiiiiii [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3]

What are you doing here..?? Umeniagaje??

Hii kesi tunaamka nayo asubuhi kabla ya yote [emoji35]
 
Shemeji nisipoleta ubabe anaweza kuanza ubabe yeye.. Hahahahaha
Ukizingatia ng'ombe 70 nilizowapa, walahi ubabe ni haki yangu kuufanya..
Ng'ombe 70 sio kitu kwetu, nawe walijua hilo kuwa tumebarikiwa. Hatujauza wala kuchinja so waweza kuja kuwachukua pamoja na waliozaliwa.
Nifah amefundwa na akafundika so ubabe kwake mwiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…