The Igbo Apprenticeship System

Mfumo wa Ufundi umeenea sana katika jamii ya Wachaga kaskazini mwa Tanzania. Wachaga wana utamaduni mkubwa wa ujasiriamali na wamefanikiwa sana kibiashara.

Mfumo wa Ufundi umechangia pakubwa katika mafanikio yao kwa kuwawezesha vijana kupata ujuzi na maarifa yanayohitajika kuanzisha na kuendesha biashara zao.

Mbali na mfano wa Wachaga, mfumo wa Ufundi unatumika pia katika jamii nyingine nchini Tanzania kama vile Wamasai, Wahaya. Kila jamii ina mfumo wake wa kipekee unaoendana na utamaduni na mahitaji yake.
 
hata sisi wachaga mbona tunafanya hivyo hivyo ndugu yangu.
 
Ngoja tu nikusaidie kitu kimoja ujakiweka hapo kwmba hao IGBO ndo kabila lenye akili zaidi kwa afrika kwa takwimu zilizotoka hao jmaa ni noma.
 
Ni kweli mkuu ila huku kwetu bado hatuja utumia vizuri kama wa Igbo, bado tunacha kujifunza kwao
 
Ngoja tu nikusaidie kitu kimoja ujakiweka hapo kwmba hao IGBO ndo kabila lenye akili zaidi kwa afrika kwa takwimu zilizotoka hao jmaa ni noma.
Ni kweli wana ongoza kwa akili hawa akina Echukuemeka, ni hatari kwa akili ndio wana ongoza kwenye mitihani Nigeria na wapo vyuo vikuu vikubwa vyote duniani.
 
hapa kuna kabila ccm ni wezi sijapata kuona na wanaongoza kwa mikopo
 
Waigbo wanasaidiana sana lakini sio kwa tabia za kitumwa kama kufanya kazi bure miaka mitano.

Mnigeria wa kufanya kazi bure miaka mitano utampata wapi Dunia hii?,tena muigbo ndio hupati hata mmoja labda makabila mengine kama kabila la Fulan, Hausi n,k
 
Kikuyu ,igbo na wasomali kwa Africa hakuna mfano wao.
Hawa watu ni hatari sana wakienda sehemu wanaitana na kusaidiana vibaya mno na walizaliana kweli population zao ni kubwa sana.
 
Sio bure mkuu unakuwa kwa mafunzo baadae wanakupa mitaji ya biashara. Hufanyi na kulipwa hapo hapo sio kazi ni unaenda kujifunza ili upate uzoefu na wanachuku vijana wadogo miongoni mwa ndugu au jirani ambao bado hawana majukumu.

Mbona hata Wachagga wanafanya sana hapa Tanzania. Mrombo anamchukua mdogo wake anakuja kuuza duka miaka kadhaa nae anampa mtaji na kumsimamia anaanzisha duka lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…