Regbush Kiria
Member
- Oct 29, 2013
- 15
- 5
Sasa Mkuu,ina maana mtu akifiwa na Mzazi au ndugu wa karibu,alafu baadae sana akawa Tajiri nae ni illuminati?? mfana c.ronaldo baba yake alifariki akiwa bado mdogo then kapambana kawa Tajiri...daaa hii inafanya hata ss tulio fiwa na ndugu wa karibu tuogope kuwa matajiri