The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

Maelezo mazuri sana chief.

SWALI:
Je kuna uwezakani mtu kuishi bila ya nafsi ? Nikiwa na maana nafsi yake kua kidnapped spiritually? If yes je inawezekana kuokolewa?
NOted boss
Katika harakati za kufanya mambo ambayo yanaweza kuacha alama duniani mtu anaweza kusema kwamba mimi ni mdogo, mimi sifai kwenye jamii, mimi sina uwezo wa kifedha na mambo mengi ambayo yanaweza kumfanya mtu ajidharau katika mambo anayotaka kutenda...Baada ya Mungu kumuumba mwanadamu alimpulizia pumzia ambayo ni nafsi ya uhai akampa mamlaka ya kutawala kila kitu kilichopo duniani, kama Nafsi ya uhai tuliyonayo mimi na wewe leo ilitoka kwa Mungu basi vivyo hivyo mimi nawe tuna uungu ndani yetu ndio maana mwanadamu ameweza kufanya maendeleo makubwa na gunduzi nyingi ambazo kiumbe mwingine hawezi. Watu wasioamini katika Mungu na wanaita Psychic power/abilities ambayo unaipata mpakabaada ya kuUnlock vitu fulani na vitu fulani lakini kiukweli ni uongo tu ni Nafsi hiyo ya uhai kutoka kwa Mungu inayotuwezesha kutenda mengi makubwa.
 
A small man can cast a large shadow, kwamba mtu mdogo anaweza kutoa kivuli kikubwa, hivyo basi haijalishi wewe ni mdogo au mkubwa maskini au tajiri bado unaweza kufanya kitu kikubwa ambacho kitabaki mioyoni mwa watu kama tu ukiwa na imani thabiti juu ya uweza uliopewa na dhamira kuu juu ya upendalo kufanya.....wandamu tumeumbwa kwa mfumo wa kua compatible to each other au kama vidole vilivyo, kila baada ya kidole kimoja katikati kuna uwazi ambao vidole vya mkuno mwingine vinaweza kukaa pale na kutengeneza bond imara.

Hivyo ndivyo inavyotakiwa wanadamu wawe kuna watu wamepungukiwa vitu fulani inabidi mwingine aje aongezee alivyonavyo ili kumfanya mtu awe mtimilifu, ndio maana twatakiwa kusaidiana na kuishi kwa upendo.
Great powers comes with great responsibilities, ukiona umepewa utajili basi usijidai na kuuficha ndani peke yako. unakua umepewa nyenzo za kuwatoa watu wanaokuzunguka katika matatizo yao mbalimbali, kama law of nature inavyotaka anayetoa ataongezewa aliye na uchoyo atalaaniwa na utajiriwake.

hivyo kwa hicho hicho kidogo ulichonacho unaweza kuanza nacho kufanya mambo ambayo yatakua alama siku ukiondoka.-With tremendous Ambition everything is possible

Vinchiii ✌️
 
When the inner voice start to whisper to follow the furthest star. That voice inside is who you are
Ngoja niisikilize the inner voice. Mbona kama inaniambia nirudi shule? Sasa narudije at this time
 
Umenikamata hahahahha.
Bye bye usiku mwema
Najua wabongona vitu virefu hampendi kusoma Unless viwe celebrity oriented. No offense 😅
Btw ningependa nikujibu hivo hivo japo kama ukisoma mada ungepata jibu.
Kama ilivyo kwenye maisha kuna Basic Needs ambapo ni vitu ambavyo Mwanadamu timamu yoyote lazima awe awenavyo kama vile Nguo,chakula na Malazi/makazi. Pia kuna Basic Wants hivi ni vitu ambavyo sio muhimu sana kuwa navyo hata ukivikosa hakuna madhara kama vile elimu,simu,gari,nk.....

Sasa hivyohivyo kwenye kusudi kuna Primary Purpose na secondary purpose. Primary purpose ni kusudi ambali kila Mwanadamu lazima atimize sio ombi ni lazima maana kuumbwa hivo kusudi hilo ni kuabudu naposema kuabudu sio lazima uabudu Mungu unaweza abudu chochote.

Secondary purpose hili ni kusudi ambalo sasa la ambalo tunapatiwa ili tuweze kuFocus maisha. Ukikaaa ukisikiliza kwa makini utasikia ndani mwako unatamani kufanya kitu fulani always chema mbele ya jamii, na ukikitenda basi roho inafurahi sana. Sasa kwa mantiki hiyo hilo unalosikia wewe kurudi kusoma sio Kusudi lako bali ni Desire/Tamanio la kutenda kitu hicho, ni kama vile usikie nafsi inakuambia ukanunue simu mpya au ukanywe bia huwezi kusema kwamba hilo ni kusudi bali ni tamanio/haja ya moyo wako
Vinci
 
Asante mkuu kwa kunielewesha nimeelewa.
 
Unaweza kuwa sahihi kwa kiasi fulani kwa sababu umekizungumzia kitu kama kilivyo na kitaalam zaidi kuliko mtoa mada aliyeegemea katika Christian theology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…