Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenzy Mbona kama hiyo equation haijakaa sawa.
Labda ingekuwa
Lengo la kuishi + mwanadamu = Kumwabudu Mungu
Kwamba kwa kufanya purpose yako umemwabudu Mungu.
Nilikua sijawasoma.. haya bwanaMkuu siunajua mambo ya BALIMI..😅
Hapo umeiweka njema zaidi..
Maelezo mazuri sana chief.
SWALI:
Je kuna uwezakani mtu kuishi bila ya nafsi ? Nikiwa na maana nafsi yake kua kidnapped spiritually? If yes je inawezekana kuokolewa?
Katika harakati za kufanya mambo ambayo yanaweza kuacha alama duniani mtu anaweza kusema kwamba mimi ni mdogo, mimi sifai kwenye jamii, mimi sina uwezo wa kifedha na mambo mengi ambayo yanaweza kumfanya mtu ajidharau katika mambo anayotaka kutenda...Baada ya Mungu kumuumba mwanadamu alimpulizia pumzia ambayo ni nafsi ya uhai akampa mamlaka ya kutawala kila kitu kilichopo duniani, kama Nafsi ya uhai tuliyonayo mimi na wewe leo ilitoka kwa Mungu basi vivyo hivyo mimi nawe tuna uungu ndani yetu ndio maana mwanadamu ameweza kufanya maendeleo makubwa na gunduzi nyingi ambazo kiumbe mwingine hawezi. Watu wasioamini katika Mungu na wanaita Psychic power/abilities ambayo unaipata mpakabaada ya kuUnlock vitu fulani na vitu fulani lakini kiukweli ni uongo tu ni Nafsi hiyo ya uhai kutoka kwa Mungu inayotuwezesha kutenda mengi makubwa.NOted boss
Ngoja niisikilize the inner voice. Mbona kama inaniambia nirudi shule? Sasa narudije at this timeWhen the inner voice start to whisper to follow the furthest star. That voice inside is who you are
Umenikamata hahahahha.Hadi umeuliza swali hili basi Natumaini hujasoma mada😅
Najua wabongona vitu virefu hampendi kusoma Unless viwe celebrity oriented. No offense 😅Umenikamata hahahahha.
Bye bye usiku mwema
Asante mkuu kwa kunielewesha nimeelewa.Najua wabongona vitu virefu hampendi kusoma Unless viwe celebrity oriented. No offense 😅
Btw ningependa nikujibu hivo hivo japo kama ukisoma mada ungepata jibu.
Kama ilivyo kwenye maisha kuna Basic Needs ambapo ni vitu ambavyo Mwanadamu timamu yoyote lazima awe awenavyo kama vile Nguo,chakula na Malazi/makazi. Pia kuna Basic Wants hivi ni vitu ambavyo sio muhimu sana kuwa navyo hata ukivikosa hakuna madhara kama vile elimu,simu,gari,nk.....
Sasa hivyohivyo kwenye kusudi kuna Primary Purpose na secondary purpose. Primary purpose ni kusudi ambali kila Mwanadamu lazima atimize sio ombi ni lazima maana kuumbwa hivo kusudi hilo ni kuabudu naposema kuabudu sio lazima uabudu Mungu unaweza abudu chochote.
Secondary purpose hili ni kusudi ambalo sasa la ambalo tunapatiwa ili tuweze kuFocus maisha. Ukikaaa ukisikiliza kwa makini utasikia ndani mwako unatamani kufanya kitu fulani always chema mbele ya jamii, na ukikitenda basi roho inafurahi sana. Sasa kwa mantiki hiyo hilo unalosikia wewe kurudi kusoma sio Kusudi lako bali ni Desire/Tamanio la kutenda kitu hicho, ni kama vile usikie nafsi inakuambia ukanunue simu mpya au ukanywe bia huwezi kusema kwamba hilo ni kusudi bali ni tamanio/haja ya moyo wako
Vinci
Unaweza kuwa sahihi kwa kiasi fulani kwa sababu umekizungumzia kitu kama kilivyo na kitaalam zaidi kuliko mtoa mada aliyeegemea katika Christian theologyufahamu mkubwa na wa kiwango cha juu kwa mwanadamu ni pale atakapogundua kuwa hapa duniani anaishi peke yake..
Unaishi wewe mwenyewe...hapa duniani ninaishi mimi mwenyewe na sio wengine hao ninaowaona(unaowaona).
Sikuja duniani kwa bahati mbaya na ndo mana mpaka sasa hivi hujafa au sijafa mpaka utimize( nitimize) kile ulichopangwa (nilichopangiwa)kukifanya katika quanta times( muda uliogawanyika ili kila kitu kifanyike kwa wakati maalumu kulingana na kukomaa kwa ufahamu wa mind yako)
Ni Saikolojia pana sana kuelewa hii dhana.. ila ukweli ni kwamba upo peke yako katika ulimwengu huu.. the other (people) and suroundings are just your personal aspects of personality(ideological view of manifestation)..
Ngumu kuelewa hapa...
but you are just alone in this universe ndo mana life pathy yako ni tofauti na ya mwingine (ulimwenguni kote)..
This is the matrix of your life... you are living alone and the manifestation of your ideas is that created following your idea of perception.
Your body(avotor) is just interacting with your own manifestation za kile mind yako iliwaza kipindi cha nyuma..
Tafuta muda kaaa peke yako halafu utafakari juu ya interactiom yote unayoipata ,utagundua kuwa ni product ya your own perception ambayo imezaa manifestation katika creation form ..
Kaa alone ufikirie kuwa kwanini hapa duniani pattern yote ya manifestation inaihusisha mind yako kwa asilimia 100!!! namanisha kwanini huwezi ishi kwa mbinu anazotumia mwingine?!! lazima mtatofautiana mtizamo na jinsi ya kumanifest mambo..
Kila unachokiona ni matokeo ya your own perception of ideas that turns into physical manifestation..
Ulimwengu ni wewe mwenyewe and nothing else...
The entire population of different things you interact is just a product of your every idea you had before today..
Kila wazo unalolipata sasa hivi linajenga manifestation badae na hii inategemeana na frequency ya vibration ya wazo lako katika kusynchronize na universal pattern of true nature on reality.
........... ndo mana time manifestation inatofationa na frequency inayopresent idea yako...
Hutakuja kuishi out of your own imagination..
And this is the game life-trick ambayo watu mabilioni bado hawajaijua...
If you change your idea from today hakika hata manifestation ya kitu chochote utakachointeract nacho kitabadirika na matokeo ni jinsi mind yako ilikichukulia kwa vibration frequency flani.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji101][emoji101]
""(vibration frequency ikiwa kubwa ndipo time manifestaion inakuwa short hence kinawahi kuonekana katika physical reality na kama vibration frequency ni ndogo hata time manifestation inakuwa ndefu hence kitachukua muda kuja kuonekana katika physical reality.. but kila wazo kichwani mwako one day menifestation into physical reality itakuja kuonekana)"""
Hapo ndo tunapata tafsiri sahihi ya usemi wa yule paka wa Schrödinger kuwa kuna option mbili au nne za kumwelezea paka akiwa ndani ya box..
Paka aliyeko ndani ya box anaweza kuwa hai au kafa kama utachukua maamuzi ya kumwangalia....usipomwangalia hakuna jibu sahihi hapo ila mpaka utakapochungulia ndo yes au no ila probability ni 0.5 kuwa paka yule kafa ndani ya box au yu mzima[emoji4]
Mpaka leo ni magwiji wachache sana wameelewa juu ya tafsiri halisi ya ile paradoxy katika quantum level... ukiwa na brain ya sisimizi hutaelewa jamaa alikuwa ana maana gani..( maybe somedays i wana make this clear juu ya paradoxy ya yule paka anapresent nini katika quantum level of awareness..
Katika maisha haya ,manifestation ya kitu chochote katika macho ya kuonekana inategemea na kama idea yake umeipresent kwenye subconscious mind yako au laaa...
kitu chochote kitaonekana katika mazingira ya kawaida kama tayari kilikuwa kishaongelewa kichwani( fikirika)
Hakitaonekana kamwe kama utakuwa hujakifikiria kwenye mind yako..[emoji3447]
Manake nini chochote kile unachointeract nacho iwe ni watu, miti wanyama au kitu chochote jua ni product ya mind creation uliyonayo...
Kama kila kinachoonekana duniani hapa ni matokeo ya perception zako basi amini upo alone katika ulimwengu huu na hapo ndo tunasema you are the creator of your own destiny...
Sory naweza kuwa nimepresent kitu tofauti na lengo lako ..sory mkuu [emoji122][emoji122]