Sometimes najiuliza nini kusudi la mimi kuumbwa?? Coz sijaona maana hata kidogo ya kuja dunia hii. Kwanini resources zilizotumika kuniumba zisingetumika kuumba vitu vyenye maana maishani kama miti?? Watu wapate Mvua na Oxygen. Naijaza dunua bila faida yoyote🤔😢