The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

Asante mkuu kwa kunielewesha nimeelewa.
Sawa haina shida, anytime napenda kujibu maswali
images (27).jpeg
 
The inner voice....the inner person..the inner self...yourself....Inner energy....Linkage to God, God's property...
 
The inner voice....the inner person..the inner self...yourself....Inner energy....Linkage to God, God's property...
Mkuu sijaelewa naomba uleze zaidi kama hutajali
 
Emushi swali lako lina majibu nikwamba hujapata mtu sahihi wa kukujibu
 
Sometimes najiuliza nini kusudi la mimi kuumbwa?? Coz sijaona maana hata kidogo ya kuja dunia hii. Kwanini resources zilizotumika kuniumba zisingetumika kuumba vitu vyenye maana maishani kama miti?? Watu wapate Mvua na Oxygen. Naijaza dunua bila faida yoyote🤔😢
FB_IMG_16766476575068147.jpg
 
Kwenye huu uzi kitu kilichoniuzi ni kiandika jina la Yesu kwa herufi ndogo hi si sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom