The KGB, NATO and Post-Independence Africa (1960s-1980s): Vita Mpya vya Maslahi ya Wazungu (USSR-USA-EU) ndani ya bara la Afrika punde baada ya uhuru

CCM oyeeeeee. Wakuu hizi maktaba alizojenga Rais Magufuli viunga vya udsm si mchezo nimejaribu kufanya Uchaguzi wa muda mfupi sioni maktaba bora kama hizi kwa bara la Africa.
 
Sawa mkuu. Angola kuna mafuta. Sasa Mozambique kuna nini mpaka kuwe na vita vya wazungu?
Dr Magufuli ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Magufuli ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.
 
Kama Mzee wa Chadema anamkubali Rais Magufuli wewe kijana unabwabwaja ili iweje?
 
Hii imekaa poa sana
 
Sawa mkuu. Angola kuna mafuta. Sasa Mozambique kuna nini mpaka kuwe na vita vya wazungu?
Angola kuna almasi na dhahabu za kutosha tu,ndo Savimbi alikomaa hapo tu kunakotoa Almas na dhahabu.
mafuta ni last option,na kwa sasa Mocambique ndio wanatamba na mafuta ndo mana AL SHABAAB wa kiswahili wamehamia huko kwenye mafuta
 


Infantry,
Mzee mkapa umemuita mzalendo. Uzalendo una hoja pana sana hasa kwa mtu akiwa kiongozi. Sipingi kuwa BM alikuwa mzalendo ila kama hutojali outline hoja tano ambazo wewe binafsi zimekufanya umeone Mkapa kuwa alikuwa mzalendo. Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…