The KGB, NATO and Post-Independence Africa (1960s-1980s): Vita Mpya vya Maslahi ya Wazungu (USSR-USA-EU) ndani ya bara la Afrika punde baada ya uhuru

kama hutojali outline hoja tano ambazo wewe binafsi zimekufanya umeone Mkapa kuwa alikuwa mzalendo. Asante.
Mkuu, uzalendo wa mzee Mkapa sio wa kuelezewa kwa hoja tano pekee. Yule mzee amefanya mambo mengi sana kwa taifa hili ambayo mengine hayaelezeki kwa kadamnasi.

Kama unashindwa kufahamu makuu ambayo Mzee wetu B.W Mkapa amelifanyia taifa hili, basi nina mshaka sana na utaifa wako mkuu.
 
Utaifa wangu na uzalendo wangu hauna shaka hata chembe. Mimi nimekuomba hayo matano tuu nipime kwa viwango vyangu. Ili nimlinganishe na marais wetu wengine kupata mzalendo namba moja sina nia mbaya. Ikishindikana kuyataja pia si shida.
 
Rais Magufuli ni kipenzi cha Watanzania, huyo msaliti wa Nchi mrudisheni ubeligiji.
 
Ccm haiwezi kuiba kura, Rais Magufuli anapendwa sana na Watanzania Pia usije ukamfananisha lowasa na huyo msaliti wa Nchi.
 
Naona Vita baridi Imepamba Moto Tena Hususani kwa bara la Africa na Asia
Ndio hivyo mkuu, South-Eastern Asia na Africa inaonekana bado kuna potentials nyingi sana kwa nchi za dunia ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…