The king of East African music is coming to Thika

The king of East African music is coming to Thika

Diamond amepambana hadi amefika hapo alipo, na nyie mpambane sio kumsubiri na kumuibia ibia
Hebu ona alikoanzia kipindi anaimba 'Nitarejea'

DiamondPlatnumzFtHawa-Nitarejea.jpg
So umepanic budaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
MTU asikudanganye kwamba ni wakenya wote. Kuna wengine ambao hawapendi muziki wenu.
Nyanyangu, haiwezikani watu wote wakapenda kitu kimoja, Saudi Arabia ni nchi ya kiislam, haina maana watu wote kule ni waislam, ninakushauri uwe unaishieikisha akili na vidole kabla ya kupost.
 
KE is just another lucrative market, why not exploit it... Mambo ya ku make pesa hayanaga siasa, wacha vijana watengeneze dough..

Kenya is the country everyone comes to fulfill their dreams.
Their land of opportunities.
 
Kenya is the country everyone comes to fulfill their dreams.
Their land of opportunities.
Hahahha kwasbabau hamuna music industry ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ maneno ya mkosaji hayo
 
Diamond is an icon of east and central africa.. Let we all Kenyans prouds of him
 
Diamond is an icon of east and central africa.. Let we all Kenyans prouds of him
Hayo ndio maneno lakini msiseme kua nyinyi ndio mumemfanya diamond awe famous ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
The way tanzanians artists are treated in kenya can clearly show our attitude towards tanzanians, the opposite is true though, nowadays every tanzanian artist to make it seems like he must come to kenya, but this trend has been there since the 80's when congolese musicians the likes of mbilia bel, kanda bongo man would flock to kenya
We love Kenyans so much.

Im looking for Kenyan girls to kwich kwich
 
Ukiona wakenya wamefikia hatua hii ya kumthamini mtanzania kuliko Raila na Uhuru, basi ujue wamekubali kwamba Bongo flava imeshindikana
Inaonekana hujui Kenya wewe, show huku hujazwa hadi ukizimia hauanguki Chini unabaki umesimama maans hakuna pa kuanguka, mwanzo hizi town kama Nakuru,Eldoret,Thika etc.... Hata MC Will M Tuva hua akienda sehemu kama hizi anajaza Hadi kumwagika na yeye si msanii!
Alafu hua kuna zile show za reggea jam rock hizo hua watu wanakesha siku mbili mfululizo!
 
Back
Top Bottom