The king of East African music is coming to Thika

The king of East African music is coming to Thika

Yes and I don't why?
Muziki wa huyo kwishney asiwasumbue akili
Anakuja kwa vacation
He is no longer a king of music East Africa hata bongo yenyewe
He is done!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]subiri siku ya show,halafu ajaribu msanii yeyote hapo kenya uone kama atafanya kitu platnumz amefanya.

Kwenye ukweli muwe mnaacha uonekane.
 
Diamond anapenda Kenya sana. anajua huku ndio kuna pesa. hata mwaka mpya pia ataufungua Kenya.
Kenya ndio entertainment hub ya E&C Africa.
Hivi unadhani anakuja kwa kupenda?, yeye anaitwa na promoters wa Kenya, wao wanatafuta musicians ambao wanakubalika hapo Kenya ili watengeneze pesa, Diamond akichuja mtaona kama kuna promoter atakayemwita, hapendwi mtu bure bure dunia hii.
 
kazi ya Babu Tale ni gani? Diamond hana PR Manager au Promoter au Agent mwenye anastruck deals??? wabongolala,,, muache kuniquote upuzi. it's a win-win situation
 
Very insecure mentality, they are businessmen like Kenyans investors flocking to Tanzania.

Ninyi wakenya ndio sababu hatuelawi na ninyi, Tanzania kuna maelfu ya investors kutoka Kenya, hujasikia mtanzania yoyote anayetaka kutumia hiyo kama point ya kuonyesha kwamba watanzania ni wakarimu kwa wakenya, na kwamba wakenya hawawapendi watanzania. Lakini wanamuziki wa Tanzania wakija Kenya na kufanya vizuri, mnataka kuonyesha kwamba mnawapenda watanzania.

Diamond anapendwa Africa nzima, wakenya kama kweli mnawapenda watanzania by choice, kwanini msiwapende Dudu Baya, Chid Benz, Harmo Rapa, kwani hao sio watanzania?.

Hivi tukisema kwamba investors wa Kenya hawajioni kama wamefanikiwa hadi waje kuwekeza Tanzania, hiyo ni sahihi?. Acheni tabia ya wivu na kujiona ninyi mna upendo zaidi kwa watanzania, Diamond anakuja Kenya kwa kuitwa kwasababu anakubalika na hao promoters they make money out of him.
ur immigration haipei hao investors hata nafasi ya kupumua
 
ur immigration haipei hao investors hata nafasi ya kupumua
Kwani hawatoki badala yake wanazidi kuongezeka?, acheni tabia ya "cry baby syndrome". Hilo ndio tatizo kubwa linalosababisha Kenya na Tanzania tusiekewane, ninyi hamna shukurani kabisa, kila kitu mnataka kutengeneza picha kuonyesha Kenya ipo sawa tatizo ni TZ.
 
kazi ya Babu Tale ni gani? Diamond hana PR Manager au Promoter au Agent mwenye anastruck deals??? wabongolala,,, muache kuniquote upuzi. it's a win-win situation
Lol. Halafu wanashindwa kulipa bili ya hoteli na wakianguka kama wanaperform inasemekana ni sabotage.
 
boss not all tanzanians hate us ,but a huge percentage like to discriminate against kenyans. mnajifanyanga maracists sana
Not even a huge percentage, hizi kelele za mitandaoni ni 0.000...1% ya watz. We're a peacefull loving people but hatupendi dharau na kupandiwa kichwani, sasa wakenya mnawadharau sana Tz tokea kitambo, a small section that is aware of these dharau zenu towards Tz ndio wanawahate mbaya.
Mna vidharau vya kijinga kwenye lugha, lifestyle yetu etc, repercusion lazima iwepo
 
Write your reply...Mtoto wa dandu [sp] pindi unjio wake ndivyo alipokubalika KENYA HOYEE!
 
Tanzania kashazunguka nchi nzima na wasafi festival ww unaongea nn 😂😂😂

Huko Tanzania hamna kitu zaidi ya kumuibia chain na mengine, mlivyo majizi nyie. Wacha aje Kenya ambapo huwa tunawalea wasanii wenu.
 
Huko Tanzania hamna kitu zaidi ya kumuibia chain na mengine, mlivyo majizi nyie. Wacha aje Kenya ambapo huwa tunawalea wasanii wenu.
Ahahhahah huyo ni wakimataifa na kashachukua pesa nyingi sana nchi nyingi so usijipe moyo subiri uone balaa la wasafi festival funga dimba dar ndio utajua😂😂😂
 
Huko Tanzania hamna kitu zaidi ya kumuibia chain na mengine, mlivyo majizi nyie. Wacha aje Kenya ambapo huwa tunawalea wasanii wenu.

Ahaaa haaa haaa
huwezi kumlea diamond. he is a real millionaire. yeye hana longolongo, he is in seRious busiNess.
 
kazi ya Babu Tale ni gani? Diamond hana PR Manager au Promoter au Agent mwenye anastruck deals??? wabongolala,,, muache kuniquote upuzi. it's a win-win situation

Diamond ane manager na ndio anaefanya kazi zote hzo unataka kumjua???😂😂
 
Yes and I don't why?
Muziki wa huyo kwishney asiwasumbue akili
Anakuja kwa vacation
He is no longer a king of music East Africa hata bongo yenyewe
He is done!

Then who is a king of eat african music au waimba kwaya wa kenya😂😂😂😂
 
Ahahhahah huyo ni wakimataifa na kashachukua pesa nyingi sana nchi nyingi so usijipe moyo subiri uone balaa la wasafi festival funga dimba dar ndio utajua😂😂😂

Sasa tatizo kwenu akipiga tour mnamuibia.....
 
No way budaa kwa hilo umekosea 😂😂
Kwanza sikiliza king kaachiw mkwaju hatariii👇👇👇👇👇👇

Diamond amepambana hadi amefika hapo alipo, na nyie mpambane sio kumsubiri na kumuibia ibia
Hebu ona alikoanzia kipindi anaimba 'Nitarejea'

DiamondPlatnumzFtHawa-Nitarejea.jpg
 
Hawa jamaa nashangaa hapa nyumbani hakuna watu wanawajali na wala sijui huwa wanaimba nini ila nashangaa kwa wakenya wanapagawa nao kabisa, hata wale waliofulia kama akina nice, mhando kwao bado keki kabisa. Wamefikia kiwango mpaka wanawake matajiri wa kenya wanawaoa. Hivi hii wasafi festival wakiipeleka Kenya si patachimbika na kazi haitofanyika siku hiyo?
 
Diamond amepambana hadi amefika hapo alipo, na nyie mpambane sio kumsubiri na kumuibia ibia
Hebu ona alikoanzia kipindi anaimba 'Nitarejea'

DiamondPlatnumzFtHawa-Nitarejea.jpg
Mkuu MK punguza siasa,

Umesahau kua kijana wetu ameshachukua jiko huko kwenu, nyie semeni tu mnataka ng'ombe wangapi🙂
 
Back
Top Bottom