Very insecure mentality, they are businessmen like Kenyans investors flocking to Tanzania.
Ninyi wakenya ndio sababu hatuelawi na ninyi, Tanzania kuna maelfu ya investors kutoka Kenya, hujasikia mtanzania yoyote anayetaka kutumia hiyo kama point ya kuonyesha kwamba watanzania ni wakarimu kwa wakenya, na kwamba wakenya hawawapendi watanzania. Lakini wanamuziki wa Tanzania wakija Kenya na kufanya vizuri, mnataka kuonyesha kwamba mnawapenda watanzania.
Diamond anapendwa Africa nzima, wakenya kama kweli mnawapenda watanzania by choice, kwanini msiwapende Dudu Baya, Chid Benz, Harmo Rapa, kwani hao sio watanzania?.
Hivi tukisema kwamba investors wa Kenya hawajioni kama wamefanikiwa hadi waje kuwekeza Tanzania, hiyo ni sahihi?. Acheni tabia ya wivu na kujiona ninyi mna upendo zaidi kwa watanzania, Diamond anakuja Kenya kwa kuitwa kwasababu anakubalika na hao promoters they make money out of him.