The Knowledge Economy Revolution: Vijana Tukiamua Tunajilipa Wenyewe

The Knowledge Economy Revolution: Vijana Tukiamua Tunajilipa Wenyewe

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
533
Reaction score
1,499
Katika dunia ya sasa, knowledge economy ndiyo msingi wa utajiri. Vijana wengi tuna mawazo makubwa lakini hayapati nafasi ya kugeuzwa kuwa tangible income. Nataka tuunde Digital Knowledge Hub—platform ya kusambaza makala, tafiti, e-books, na short online courses zinazotengenezwa na sisi wenyewe. Kila kijana anaweza kuchangia content yake, na kila content ikiuzwa anapata asilimia.

Hii siyo tu biashara ya karne ya 21 bali ni intellectual empowerment movement. Badala ya kulalamika, tunaweza ku-monetize akili zetu. Tukiuza maarifa yetu kidigitali, tunaunda ecosystem ya vijana kujilipa kwa IQ zao, siyo kutegemea system dhalimu. Hii ndio njia ya kuunganisha activism, academia, na entrepreneurship.
 
Mawazo mazuri..

Vijana wengi wa Tz wanashinda IG , FB, TIKTOK na Snapchat.

AKILI zao zimeelemea huko.. atakaa chini na kuweka mambo kwenye mzani.

Kuandaa short clip ya kukatika viuno na kuandaa Short course kipi ni rahisi na kipi kitampa faida kubwa.

Definitely kukatika viuno kutampa faida lukuki...

Mbaya zaidi AKILI au UJUZI wa kuingia ktk hiyo platform wengi hawana..

Fatilia hata humu JF Jukwaa la watu wanaojielewa utaona michango ni midogo sana.. ila nenda CHIT CHAT au Majukwaa ya UDAKU ndio utaelewa.

Wazo ni zuri.
 
Nimekusikiliza kwa umakini sana lakini swali la kujiuliza hao vijana wanamaarifa gani vichwani, nchi za kiafrika uchawi ni mwingi kuliko nyumba za kulala wageni, vipaji vipya vinafukiwa tangu vikiwa tumboni mwa mama zao, ni vijana gani hao ambao unazungumzia wauze maarifa yao sasa hapa!, ni wachache sana waliobaki na hivyo vitu unazungumzia wala si vijana wengi kwa ujumla wao.
 
Maarifa yenyewe yatakuwa katika mfumo upi? Kwamba mtu anaformulate idea na concept zake original au ndio kusoma "Rich Dad,Poor Dad" ya Robert Kawasaki then kuja ku'plagiarize na kusema ni idea mpya?🤔
 
Things are even harder..., very very hard; lazima utafute Niche Market na ukishaipata unahitaji ku-promote it to the maximum na hata hapo unaweza kupata through indirect ways (There is someone around the Corner offering the Same for Peanuts or Free...); Tupo dunia ambayo most things are free ; information pekee kila mtu anapata bila kununua kwahio lazima uwe na kitu extra; Labda kama una kipaji fulani (creativity) na hata ukiwaona kina Diamond wametoboa kuna msururu wa wadau wapo radhi watoe nyimbo bure hata bure watu waangalie na hawaangalii..... The Notion of Demand determining Supply is no more applicable; There is a lot of Supply chasing the Same Demand...

Na kama hio haitoshi, vitu kibao AI inakunyoshea na mambo yanakuwa mswano; ukisema uuze kitu mtandaoni competition is just a click away lazima utoe kitu extra ukisema uanzishe network marketing unashindana na kina FaceBook wanatoa bure; Kitu kama WhatsApp kina value sana ila Facebook anatoa bure akijua kwamba atapata watu kwenye Matangazo Facebook (How do you compete with that);

Ukiwa creative na kitu Unique na una following hapo sawa ila anything you think you know someone can know it with a click of a button...

Ushauri kwa Madogo wa Kesho; Unahitaji Problem Solving Skills; Unahitaji kutumia Logic (kuweza kupembua pumba na mchele hususan dunia ya fake news) you need to know the AI language (English being the language AI know Best); You need to be Open Minded...; Always Ask Why!!!

Ushauri kwa Watawala wa Sasa na Kesho: Unahitajika mfumo wa kuweza kuona ni vipi Keki ya dunia inaweza kuwapatia hata Makombo Majority ya watu; Tunapoelekea Nguvu kazi sio Issue tena (Manpower is not Needed) Hence how will majority feed themselves ?!!!!!
 
Back
Top Bottom