The law is not neutral. Rais wa dola huru anakamatwa kama kuku mataifa mengine yapo kimya.Usa who are you?

The law is not neutral. Rais wa dola huru anakamatwa kama kuku mataifa mengine yapo kimya.Usa who are you?

Marekani imekiuaka sheria za kimaraifa.

Mkataba wa montevideo juu ya uhalali wa dola huru kutoingiliwa umekiukwa.


Hakuna aliyepinga kwa kukemea chochote.
hahahaah vyura wa mama mtapiga sana kelele na mkamwambie afute ile kauli yake ya WHO ARE YOU? na aombe msamaha kabla hajachelewa kama MADURO
 
He who leads in TECHNOLOGY controls the world.

USA 🇺🇸 ndio kiranja wa dunia, akikuhitaji, chapu tu.

Iran 🇮🇷 anaelewa shoo, alikuwa anaambiwa aachane na Nuclear hasikii. Chopa za B2-Spirit bomber zikatumwa kumaliza kazi.

USA, Baba lao.
 
Marekani imekiuaka sheria za kimataifa.

Mkataba wa Montevideo juu ya uhalali wa dola huru kutoingiliwa umekiukwa.

Hakuna aliyepinga kwa kukemea chochote.
Mwenye Nguvu ndio anaweza kufanya hayo, fanya ww ambae una uchumi wa kusikilizia madili
 
Ngoja Queen of Milk, friesian adakwe kama panya. Kupe wote watatawanyika kwa kukatiwa mirija ya maziwa.
 
Marekani imekiuaka sheria za kimataifa.

Mkataba wa Montevideo juu ya uhalali wa dola huru kutoingiliwa umekiukwa.

Hakuna aliyepinga kwa kukemea chochote.
Kwani sheria hazikatazi kuua?
Samia na Jakaya walipoua maelfu ya Watanganyika mbona hawakupigwa pini hadi leo?

Tunamuomba mh. Trump awakumbuke wanyonge wa Tanganyika
 
Chawa hawana hali.

Na wakikumbuka Marekani kawatuhumu kwa kutesa wakristo na kutishia maslahi yake ndo wanakosa nguvu kabisaaa
Yaani we ni nyumbu kweli kweli
Ukajiandikia hapa nyuzi kuwa waliouliwa ni wakristo halafu unajigeuza kuwa marekani?

Anyway, watu kukimbia airport iliishia wapi? Flight zone kufungwa? Kuandamana bila kikomo je?

Mkitaka kuandamana muwe mnaenda wenyewe siyo kutanguliza vitoto vinakula misumari!
 
Back
Top Bottom