gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
love you too swthrt.Merry Christmas sweetheart, love u ma!
Wajibu rufaa ni wale ambao walikuwa wanamshtaki Lema katika mahakama kuu. Pale huitwa Plaintiffs na anayeshtakiwa anaitwa Defendant. Sasa inapokwenda kwenye ngazi ya rufaa, yule anayekat rufani anaitwa appellant (mrufani) ambaye ni Lema na wanolalamikiwa katika rufani hiyo wanaitwa wajibu rufani yaani respondents ambao ndio wale wa CCM.
Kuhusu majaji wa mahakama kuu kupinga hilo haliwezekani mama yangu gfsonwin. Mahakama ya rufaa ipo juu ya mahakama kuu na uamuzi wa mahakama ya rufaa ndio huchukuliwa kuwa ni uamuzi halali wa mahakama. Mahakama zote za chini zinapaswa kufuata jinsi mahakama ilivyoamua mpaka hapo itakapoamua vinginevyo au bunge litakapotunga sheria mpya
asante kwa kumfundisha mama yako manake leo niko kwenye hili darasa hadi kieleweke sichez mbali hadi nielewe sheria ya uchaguzi.
sasa kumbe bado katiba yetu ndo inayotuanusha enh! manake kama imeonekana hukumu iliyotolewa haikufuata sheria ipasavyo na taratibu zilizotakiwa wafikir walalamikaji wanafanyaje tena na imeshasemwa maamuzi ya mahakama ya rufan ndio ya mwisho??