The Lema Verdict: Did the Court of Appeal encroach on litigation rights of a voter?


Hili Mahakama ya Rufaa walijiuaje hata hawakutathmini kanda za video..........kama siyo ubabaishaji?
 

Suala siyo kushindwa kujibu kihoja. Suala ni wewe kutaka kulazimishia wengine wakubaliane na hoja hoja zako.

Pale mtu anapokataa unadhani eti anaiabudu mahakama kama Mungu.

The fact kuwa Prof. Shivji "anaunga mkono" hoja zako haina maana kuwa nibadilishe maoni yangu na kukubaliana na unayosema.

Anyway, so long unaona ninayoandika ni "blah-blah tu" ngoja basi nijiondoe kwenye mjadala.
 

EMT rudi kwenye mjadala. Hadi saa hii sijaona kama hata kama unaelewa khoja yangu imekalia wapi.........................ondoa Lema kwenye mjadala na macho yako yatafunguka.....................the issues are above the partisanship of ccm and chadema...............................they are much deeper.....................than the manner you want to simplify.......

Unadai unatofautiana nami kwenye maeneo yepi? Mimi sioni hata kama unafahamu kuwa khoja zangu zinajengwa na mahakama ya Rufaa yenyewe. Kama unatofautiana ujue inabidi ujenge khoja zako ndani ya maamuzi ya awali ya kimahakama. Unaposema unatofautiana na mimi ujue hujaelewa mimi sina khoja zaidi ya kunukuu mahakama ya rufani siku za nyuma ilisema nini kwenye masuala yanayofanana na hili.

Nenda taratibu acha kunivamia wakati hata huelewi mimi sina khoja kwenye hili zaidi ya kuwanukuuu wahusika...........
 
EMT and Rutashubanyuma;

Don't get personal. Mjadala ni mzuri na kati yenu kila mtu anaweza kusimama katika position yake. Kwani sisi wengine ambao sio wataalamu wa sheria tunafaidika kwa namna moja au nyingine.
 
Hukumu ya juzi ya Mahakama ya Rufaa kama walivyosema wasomi profesa Shifji, Stolla na Mgwai, haikutokana na sheria halisi bali imerekevbisha sheria halisi bila kuwa na sababu maalumu. Hoja za waheshimiwa majaji zilijengwa katika dhana isiyo sahihi kwamba chumbuko la locus stand katika kesi za uchaguzi ni common law badala ya sheria ya Uchaguzi. Matokeo yake tafsiri yao ya kifungu cha 111 cha Sheria ya Uchaguzi ilitiishwa katiika sheria za uingereza za common law kana kwamba sheria hizo ziko juu ya sheria za Bunge na sheria nyingine za nchi. Majaji hawakupima matumizi yao ya sheria za uingereza katika kipimo kilichowekwa na kifungu cha 2 cha Judicature and Applications of Laws Act ambacho kinasema kwamba sheria za uingereza zitatumika tu kama sheria zetu za nchi ziko kimya na kama zinaendana na mazingira yetu ya Tanzania. Kama wangepijma tafsiri yao katika kipimo hicho wangeng'amua moja kwa moja kwamba sheria za uingereza hazikuwa na nafasi yoyote katika kujadili nani ana locus ya kupinga matokeo ya uchaguzi






 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…