The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

-Hahahaha yote yapi??nimekuambia wew leo mpaka utapike hizo pumba ulizonyonyeshwa utotoni.

-Ambapo pumba hizo zimeku-najsi ubongo kias unawaza kama nguruwe mpaka kwenda 'kumuhonga' mwanaume akufundishe utajiri.

Leo mpaka nikukaushe ubaridi maliwatoni..na ndio kwanza niko warmup apa.

TII KIU YAKO!!
Haaaahaaaa....laptop ina matochi tochi vepeee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
-Hahahaha yote yapi??nimekuambia wew leo mpaka utapike hizo pumba ulizonyonyeshwa utotoni.

-Ambapo pumba hizo zimeku-najsi ubongo kias unawaza kama nguruwe mpaka kwenda 'kumuhonga' mwanaume akufundishe utajiri.

Leo mpaka nikukaushe ubaridi maliwatoni..na ndio kwanza niko warmup apa.

TII KIU YAKO!!
 

Attachments

Nimepotea jf roughly wiki moja mshana kapata demu.

Nikipotea mwezi nitakuta kila mtu na wake ngoja nikazane.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hata wewe utapata tu wamejaaa tele
 
Unamjua The list au unamsikia?....bora ungeendelea kukausha, atakuvua nguo sasa hivi[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji15] [emoji15]

atanivua nguo kwa kipi hizo pumba?? ananijua? bahati mbaya sina midomo michafu kama yake
 
Its between this one and this one n nobody else View attachment 710175View attachment 710176
Hii pic ulivyozoom nilijua le mutuz nye nye nye......[emoji13] [emoji13] [emoji13] kumbe mwanga wa jf
Mkuu ziara za makabulini mnaanza lini na Demiss
The happiest day ever.. Sensational n very romantic.... Its official announcement kwamba from today miss Demiss (chamdeko) is officially known as Mrs Jr[emoji769]
Napenda kudekewa na mtoto anajua kudeka! Napenda kuringiwa! Chamdeko ana hicho kipawa.. Napenda rangi ya dhahabu, vidole vya kike na lips [emoji182] zake! Sijayataja macho, mguu wa hadhi kishoes next level... Kiuno nyonga je? Asikwambie mtu mungu fundi na kalithibitisha hilo kwa the only one I truly adore.... That's Demiss chamdeko officially known as Mrs Jr
Karibu kinda langu unidekee mpaka roho zipate jakamoyo... Usijali mkubwa Angel Nylon katoa kibali kusaidiwa majukumu
Its only you Demiss... You know the feeling we have between our internal soulsView attachment 710174
 
Back
Top Bottom