issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,128
- 7,899
dem(I) sijataja dem hapa. hilo shoga ushahid 100% ninao.Umesema ni demu halafu hajulikani hata jinsia yake!? Mmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dem(I) sijataja dem hapa. hilo shoga ushahid 100% ninao.Umesema ni demu halafu hajulikani hata jinsia yake!? Mmh
Hahahaa dogo usiwehuke saivi bado mapema sana..izo dozi chache tu tayari umeamza kudandia watu usiowajua..uyo Witness kakukosea nini dogo??
Nijibu swali langu baada ya kununua laptop mwezi wa 11 mwaka jana
--Je bado unalala kwa dada yako ukisikiliza miguno yake ya makhirikhiri huku ukikombaa mboga ya kisamvu
--au unaendelea kupakatwa na vijana wa mjini
--au umerudi nyumbani kunyonya maziwa ya pumba.
Nasubiri majibu
TII KIU YAKO.
Nitakubembeleza mm ni wakoooDekaa unavyodekaa kama mtotooo...
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]hun jaman unaifanya nione Server zote za jf zanguuu[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji322] [emoji322] [emoji173] [emoji125] [emoji173] [emoji323] [emoji8] [emoji322]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dah! Hatari tupu full mizagazaga ila pembe sijaiona na vibuyu havina shanga kiunoni
Hun wivu at workUmesema ni demu halafu hajulikani hata jinsia yake!? Mmh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Naweka laki moja tasilimu uthibitishe madai yako
Mtoke umu jf bembelezaneni nje ya jf araaah..[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]hun jaman unaifanya nione Server zote za jf zanguuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mtoke umu jf bembelezaneni nje ya jf araaah..
Demiss mke halali wa Mshana jrThose multiple IDs will eventually merge to form a single one.
Ndio mzuri huyo...Yupo triple huyo...stay back[emoji19]
Hapana sisi wote ni wa imani moja... Na tunampenda na kumtumikia Mungu aliye haiSasa mshana Jr kwahiyo wedding yenu haitakuwa kanisani wala msikitini itafungwa kiserikali maana jamii ya watu wa haina yako si hawana dini? By the way mshana natamani umrisishe demiss yale mambo yetu
Hebu weka picha yako hapa tukuone wengine hatukujui mwenzio kashawekaMwaaa
Habari zako , za moyo wako , za tabasamu lako , za kicheko chako , sauti yako na kila kitu kizuri chako ? Najua kila kitu kitakuwa safi sana kuanzia moyo wako mzuri na mtamu uliojaa upendo na mapenzi ya dhati kabisa ulio mkweli na mvumilivu . Angalia ndani ya moyo wako , utakuta hakuna kitu cha kuficha , pengine unaweza kuficha kwa sababu ni wajibu wa kila mtu katika maisha yake , lakini linapokuja suala la kupendana basi mambo ya kuficha hakuna tena kama ukiwa na uhakika kuhusu uhusiano wako . Nikifikiria kuhusu wewe , nafikiria kuhusu dunia ya mapenzi iliyo nyooka na iliyo katika njia sahihi kabisa , mpaka hapo jua tu mimi na wewe mpaka milele kwenye mabonde twende Dear ,
, baharini tuogelee hata hewani tutapaa . Tabasamu lako ambalo ndio nalipenda zaidi , na kila mara huwa nalihisi liko mbeleni mwangu lakini kama unavyojua muda mwingi uko mbali najaribu kufikiri tu je kama tungekuwa tuko wote masaa 24 siku 7 usiku na mchana sijui ningesema maneno gani kusema za ukweli namisi tabasamu lako maridani Kicheko chako ambacho nikisikia moyo wangu huenda kasi kuliko wakati wowote ule , Dear labda nikuambie kitu Fulani , mimi napenda sana kusikia vicheko , unajua kuna wakati ukiwa sehemu Fulani Fulani jinsi unavyocheka ndio watu wale wanavyoweza kukuweka katika kundi gani , wewe kicheko chako nakuweka katika kundi la wanadamu maridani . Hiyo sauti yako ni zaidi ya Jay zee honey kama hujui au hujawahi kusikia , Jay zee ndio mwanamuziki wa kiume mwenye sauti ya mvuto zaidi duniani mpaka sasa hivi .
Kuna nyimbo moja nzuri kabisa aliimba Coco lee na Julio Iglesius inaitwa WHEN U TELL ME THAT U LOVE ME naomba uisikilize na pengine ungeamua kuimba leo ningekuwa naandika kuhusu kitu kingine cha zaidi . Honey huwa napata furaha sana kila ninapopata wasaa wa kukuandikia email , kila ninapopata nafasi ya kukusalimia wewe , wengine hawapati nafasi hii kutokana na sababu zao mbali mbali , wengine hawana mikono ya kuandika , wengine wameachana na wapenzi wao , wengine wamegombana na wapenzi wao na kadhalika lakini mimi nafurahi nakuandikia email hii kwa furaha kuu kuliko zote . Kikomo naishia hapa , naomba tuendelee kuwasiliana siku nyingine tena , mwisho wa barua moja ndio mwanzo wa barua nyingine nzuri na bora zaidi , kwahiyo usijali sana mr wangu .
Natamani ningekuwa kengele
Ningelia unisikie hapo ulipo
ni wako barafu wa moyo
[emoji813]••.¸¸.• mahabat •.¸¸.••[emoji813]
Cha mdekoooooooooooo
Aiseeee.....Hapana sisi wote ni wa imani moja... Na tunampenda na kumtumikia Mungu aliye hai
Ahahha mshana humjui demiss... Trust meNiliweka zote mbili... Juu yake chini yangu