Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Mshana fitina ulizotumia sio za nchi hii ...yaani ulivyogundua namnyemelea 'cha mdeko' ukaamua utumie mpaka vitunguli ili anisahau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefatilia comments zako hakuna hata moja ambayo unaelewana na watu sijui ni wivu???Siku zote nimekuwa najiuliza inakuwaje mwanaume unatumia 'viemojiemoji' vya udaku kama kina mwanahamisi..ila leo uzi huu umenasibisha jinsi akili yako ilivyo cheketuliwa..empty set kabisa
Mshana ndo kanaswa.Hahaha , chamdeko tayali kashanaswa
Kumbe unajua mpaka chochoro zake???Aiseeh.... ile safari ya kibaha nimeisitisha mpaka hapo baadae.
Hongera wakedhije vana na mwaii (mche)
Huu ni wivu tena.Naona majini yanaoana.
Huyo Demis mchukue tu, alikosa soko humu,
Kila nikiona ID yako lazima kwanza nipige jicho kwenye avatar yako ...naona kama ushaanza kuniroga.Kumbe we ni Ke?
Acha kumchora mwenzio, Dodoma na Dar wapi na wapi au kila siku anaruka kwa vitunguli...Waooooooh waooooh niseme nini mtoto wa kike
Hakika wewe peke yako unajua thamani yangu
Unajua kupokea madekooo yangu
Ni mwanaume pekeeee unayehimili mauno yanguuu ya feniiii ya panga boy
Mm sikubalian.na maneno ya watu kuwa umetumia tunguli kunipata
My husband Mshana
Narud tena nina barua ndefu sanaaaa
Nyata na wewe tunguli zikunyatie...Kwa uzuri wa Demiss hadi nakuonea wivu. Kipindi tunasoma Alikuwa Malkia wa darasa kitaaluma usafi na uzuri wa Sura. Heko mshana. Nakumbuka alivokuwaga ananyanyuka kwenda kuchukua zawad akiwa wa kwanza halafu mi wa pili namtaman mkeo ila namheshim maana sitak kunyata na skuna kwenye tiles
Ama kweli vitunguli vishatingisha mtu.Mwaaa
Habari zako , za moyo wako , za tabasamu lako , za kicheko chako , sauti yako na kila kitu kizuri chako ? Najua kila kitu kitakuwa safi sana kuanzia moyo wako mzuri na mtamu uliojaa upendo na mapenzi ya dhati kabisa ulio mkweli na mvumilivu . Angalia ndani ya moyo wako , utakuta hakuna kitu cha kuficha , pengine unaweza kuficha kwa sababu ni wajibu wa kila mtu katika maisha yake , lakini linapokuja suala la kupendana basi mambo ya kuficha hakuna tena kama ukiwa na uhakika kuhusu uhusiano wako . Nikifikiria kuhusu wewe , nafikiria kuhusu dunia ya mapenzi iliyo nyooka na iliyo katika njia sahihi kabisa , mpaka hapo jua tu mimi na wewe mpaka milele kwenye mabonde twende Dear ,
, baharini tuogelee hata hewani tutapaa . Tabasamu lako ambalo ndio nalipenda zaidi , na kila mara huwa nalihisi liko mbeleni mwangu lakini kama unavyojua muda mwingi uko mbali najaribu kufikiri tu je kama tungekuwa tuko wote masaa 24 siku 7 usiku na mchana sijui ningesema maneno gani kusema za ukweli namisi tabasamu lako maridani Kicheko chako ambacho nikisikia moyo wangu huenda kasi kuliko wakati wowote ule , Dear labda nikuambie kitu Fulani , mimi napenda sana kusikia vicheko , unajua kuna wakati ukiwa sehemu Fulani Fulani jinsi unavyocheka ndio watu wale wanavyoweza kukuweka katika kundi gani , wewe kicheko chako nakuweka katika kundi la wanadamu maridani . Hiyo sauti yako ni zaidi ya Jay zee honey kama hujui au hujawahi kusikia , Jay zee ndio mwanamuziki wa kiume mwenye sauti ya mvuto zaidi duniani mpaka sasa hivi .
Kuna nyimbo moja nzuri kabisa aliimba Coco lee na Julio Iglesius inaitwa WHEN U TELL ME THAT U LOVE ME naomba uisikilize na pengine ungeamua kuimba leo ningekuwa naandika kuhusu kitu kingine cha zaidi . Honey huwa napata furaha sana kila ninapopata wasaa wa kukuandikia email , kila ninapopata nafasi ya kukusalimia wewe , wengine hawapati nafasi hii kutokana na sababu zao mbali mbali , wengine hawana mikono ya kuandika , wengine wameachana na wapenzi wao , wengine wamegombana na wapenzi wao na kadhalika lakini mimi nafurahi nakuandikia email hii kwa furaha kuu kuliko zote . Kikomo naishia hapa , naomba tuendelee kuwasiliana siku nyingine tena , mwisho wa barua moja ndio mwanzo wa barua nyingine nzuri na bora zaidi , kwahiyo usijali sana mr wangu .
Natamani ningekuwa kengele
Ningelia unisikie hapo ulipo
ni wako barafu wa moyo
[emoji813]••.¸¸.• mahabat •.¸¸.••[emoji813]
Cha mdekoooooooooooo
Afanaaleki!Asanteeee nashukuru kila kitu kitakuwa waziiiii
Nampenda nitamlinda nitampa chochote kinachostahili kupewa kama mwanaume wangu.
Nakupenda Mshana jr
Afanaaleki!
Mbuzi kafia kwa muuza supu!
Okaybabe luv
The List naomba tuwe couple nasiSiku zote nimekuwa najiuliza inakuwaje mwanaume unatumia 'viemojiemoji' vya udaku kama kina mwanahamisi..ila leo uzi huu umenasibisha jinsi akili yako ilivyo cheketuliwa..empty set kabisa
HahahahahahaRafiki wewe sasa hivi si umeshapata dume tayari?...au bado kale kaflati screen kako bado kanakutesa??
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio mzuri huyo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Mshana we ni noumaa, umeona mdomo tu umepagawa je ukiona mguu wa Mzigua itakuaje?
Basi itabidi nimuachie huyo Mr Miller maana naona kwa dalili hozo mimi sina changu tena.Ndo kwanzaa nimetuma maombi ya dawa kwa mshana nikuroge wewe na Mr Miller na bado sijapata ushaanza kudata