Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikua sojaiona hii, tatizo hua sikati tamaa. nimetafiti na kugundua kwamba Ghana wana vibuyu vikali zaidi ya vya Msata. Nipo kwenye service ya Baja yangu lazima mrembo abadili kibaoMwaaa
Habari zako , za moyo wako , za tabasamu lako , za kicheko chako , sauti yako na kila kitu kizuri chako ? Najua kila kitu kitakuwa safi sana kuanzia moyo wako mzuri na mtamu uliojaa upendo na mapenzi ya dhati kabisa ulio mkweli na mvumilivu . Angalia ndani ya moyo wako , utakuta hakuna kitu cha kuficha , pengine unaweza kuficha kwa sababu ni wajibu wa kila mtu katika maisha yake , lakini linapokuja suala la kupendana basi mambo ya kuficha hakuna tena kama ukiwa na uhakika kuhusu uhusiano wako . Nikifikiria kuhusu wewe , nafikiria kuhusu dunia ya mapenzi iliyo nyooka na iliyo katika njia sahihi kabisa , mpaka hapo jua tu mimi na wewe mpaka milele kwenye mabonde twende Dear ,
, baharini tuogelee hata hewani tutapaa . Tabasamu lako ambalo ndio nalipenda zaidi , na kila mara huwa nalihisi liko mbeleni mwangu lakini kama unavyojua muda mwingi uko mbali najaribu kufikiri tu je kama tungekuwa tuko wote masaa 24 siku 7 usiku na mchana sijui ningesema maneno gani kusema za ukweli namisi tabasamu lako maridani Kicheko chako ambacho nikisikia moyo wangu huenda kasi kuliko wakati wowote ule , Dear labda nikuambie kitu Fulani , mimi napenda sana kusikia vicheko , unajua kuna wakati ukiwa sehemu Fulani Fulani jinsi unavyocheka ndio watu wale wanavyoweza kukuweka katika kundi gani , wewe kicheko chako nakuweka katika kundi la wanadamu maridani . Hiyo sauti yako ni zaidi ya Jay zee honey kama hujui au hujawahi kusikia , Jay zee ndio mwanamuziki wa kiume mwenye sauti ya mvuto zaidi duniani mpaka sasa hivi .
Kuna nyimbo moja nzuri kabisa aliimba Coco lee na Julio Iglesius inaitwa WHEN U TELL ME THAT U LOVE ME naomba uisikilize na pengine ungeamua kuimba leo ningekuwa naandika kuhusu kitu kingine cha zaidi . Honey huwa napata furaha sana kila ninapopata wasaa wa kukuandikia email , kila ninapopata nafasi ya kukusalimia wewe , wengine hawapati nafasi hii kutokana na sababu zao mbali mbali , wengine hawana mikono ya kuandika , wengine wameachana na wapenzi wao , wengine wamegombana na wapenzi wao na kadhalika lakini mimi nafurahi nakuandikia email hii kwa furaha kuu kuliko zote . Kikomo naishia hapa , naomba tuendelee kuwasiliana siku nyingine tena , mwisho wa barua moja ndio mwanzo wa barua nyingine nzuri na bora zaidi , kwahiyo usijali sana mr wangu .
Natamani ningekuwa kengele
Ningelia unisikie hapo ulipo
ni wako barafu wa moyo
[emoji813]••.¸¸.• mahabat •.¸¸.••[emoji813]
Cha mdekoooooooooooo
Mganga wako ndan ya penzi zito ukweli tunaujua ss wenyeweNaheshimiana sana na mshana jr lakini hili suala la wewe kua ubavu wake ghafla bado linanisababishia chembe moyo kabisaaaa!!!!
Sijajua ni yale masory ya bonge au yule mzee wa full doze yamempagawisha kiongozi wangu? Uzuri siku zote nayaamini sana maamuzi yake.
Hapa amenitandika chale za mbavu na ulimi kuniwekea kismasi niwe kama Ice, maumivu yake sasa.
Siyo mdomo tu mpaka kiuno ameshaona na amekishika ndo maana kapagawaaaaYaani Mshana we ni noumaa, umeona mdomo tu umepagawa je ukiona mguu wa Mzigua itakuaje?
Tena hizo tunguli zimeshanipeleka mpaka Msata na kuku ameshaliwa ukiona manyoya ujueee.............Mshana fitina ulizotumia sio za nchi hii ...yaani ulivyogundua namnyemelea 'cha mdeko' ukaamua utumie mpaka vitunguli ili anisahau.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mshana ndo kanaswa.
Tena wivu hasaaaaaaaHuu ni wivu tena.
Acha kumchora mwenzio, Dodoma na Dar wapi na wapi au kila siku anaruka kwa vitunguli...
Nahisi mpaka hapo jibu umepata huyo hapo classmate ameshatoa jibu kwa vijabizabinaNyata na wewe tunguli zikunyatie...
Na vimetingishaaaa kweli kweliAma kweli vitunguli vishatingisha mtu.
Kabisaaaaa ukiona manyoya ujue...........Afanaaleki!
Mbuzi kafia kwa muuza supu!
Napendwaaa miyeeeee shostThe List naomba tuwe couple nasi
Namuonea sana mr miller
[emoji3][emoji3][emoji3]aiseeee kumbe tutaona sasa maana nalindwa na tunguli za hatar sijui sasa kama za kwako zitafua dafuNilikua sojaiona hii, tatizo hua sikati tamaa. nimetafiti na kugundua kwamba Ghana wana vibuyu vikali zaidi ya vya Msata. Nipo kwenye service ya Baja yangu lazima mrembo abadili kibao
Raha sana kupendwaa ,,ukipendwa shikana mama kupemdwa bahatiiNapendwaaa miyeeeee shost
Jaman nampenda mshana na tunguli zakeeee
Shemeji yakooooo huyo
Kupendwaaaa bahati sna yanRaha sana kupendwaa ,,ukipendwa shikana mama kupemdwa bahatii
Kwahiyo mimi na wewe et...
Tatizo hatulii mara mimi mara wewe. Nimempa nafasi achague anapopataka kwanza. Ngoja nijiweke kwa Shida na rahaNamuonea sana mr miller
Nimempa polee nyingi sana
Mimi na wewe tuuKwahiyo mimi na wewe et...
Ujuwe kakoswa...Tena hizo tunguli zimeshanipeleka mpaka Msata na kuku ameshaliwa ukiona manyoya ujueee.............