The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Sasa mshana Jr kwahiyo wedding yenu haitakuwa kanisani wala msikitini itafungwa kiserikali maana jamii ya watu wa haina yako si hawana dini? By the way mshana natamani umrisishe demiss yale mambo yetu
image_search_1520698192944.jpeg

Nampenda mme wangu na tunguli zakeee
 
Husband achana nayeee picha yangu ya nn wewe ndo unayelala na mm wengine wanataka wapate za nn

Naheshimiana sana na mshana jr lakini hili suala la wewe kua ubavu wake ghafla bado linanisababishia chembe moyo kabisaaaa!!!!

Sijajua ni yale masory ya bonge au yule mzee wa full doze yamempagawisha kiongozi wangu? Uzuri siku zote nayaamini sana maamuzi yake.

Hapa amenitandika chale za mbavu na ulimi kuniwekea kismasi niwe kama Ice, maumivu yake sasa.
 
Naheshimiana sana na mshana jr lakini hili suala la wewe kua ubavu wake ghafla bado linanisababishia chembe moyo kabisaaaa!!!!

Sijajua ni yale masory ya bonge au yule mzee wa full doze yamempagawisha kiongozi wangu? Uzuri siku zote nayaamini sana maamuzi yake.

Hapa amenitandika chale za mbavu na ulimi kiniwekeabkismati niwe kama Ice, maumivu yake sasa.
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom