Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Mtafute Mshana mwambie kama upo Dar akuweke kwenye ile list ya kampani kabambe itakayofanyika wiki ijayo...Kwa sababu unanipaga mwenyewe unaona sikuombi ndo unajua sitaki eeh? Siku usinipe uone kama nataka au sitaki.
Isijekua kwenda kilingeni tuu.Mtafute Mshana mwambie kama upo Dar akuweke kwenye ile list ya kampani kabambe itakayofanyika wiki ijayo...
VizuriBasi itabidi nimuachie huyo Mr Miller maana naona kwa dalili hozo mimi sina changu tena.
Usinifanyie hivyo tafadhali
Pole nyingi za nini?Namuonea sana mr miller
Nimempa polee nyingi sana
Wewe jidanganye tuKwahiyo mimi na wewe et...
Nimechagua wewe mm, Demiss hapanaTatizo hatulii mara mimi mara wewe. Nimempa nafasi achague anapopataka kwanza. Ngoja nijiweke kwa Shida na raha
Naomba umpende alafu tukutane MagomenKwahiyo mimi na wewe et...
Mmh!Mimi na wewe tuu
Moyo wake umenidondokea mm sema alishachelewaaaTatizo hatulii mara mimi mara wewe. Nimempa nafasi achague anapopataka kwanza. Ngoja nijiweke kwa Shida na raha
AiseeeMzigua na mimi nifungulie sred basii angalau na mimi nijisikie furaha kidogo, japo kunidanganya danganya.
Vimshahara vyangu vyote utakua unanipangia matumizi wewe.
bundle la maua eeh [emoji1][emoji1]Nitumie bundle my love nikufungulie siredi humu. Uliebahatika.
Kakoswaaaa Mganga ameshatuliza maunoUjuwe kakoswa...
[emoji30][emoji30][emoji30]Hahaha unaona hauna wema na mimi maana unashindwa kunifungulia wakati unachat au hilo bando kwa ajili yangu.
DuuuhMama Sabrina lile buzi umeshalimiki ee.
Mmh!Sasa nafungua siredi halafu nasemaje? Niandikie vya kuandika pm nije niweke kwenye thiledi bby
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mzigua wa Nyani NgabuMzigua na mimi nifungulie sred basii angalau na mimi nijisikie furaha kidogo, japo kunidanganya danganya.
Vimshahara vyangu vyote utakua unanipangia matumizi wewe.
Demiss huyuhuyu wala siyo mwingineLo! Demiss huyu hyu
Sijawai kutumia voda asee [emoji20][emoji20][emoji19][emoji19]Mmmh isijekuwa umemtumia Mr Miller si unajua zinafanana...
Ngoja nimuiteee Us babyNitumie bundle my love nikufungulie siredi humu. Uliebahatika.