[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haaaaah ukipata jibu .Tupe solution yake/solving haaaah
Hun namiss vileee unanipakata miguuni huku nimelaza kichwa kifuani mwakoooMiss you chamdeko wangu deka kidogo nikubembeleze nipate raa
Za nn?mshana nipe hizo ndumba
Wee Mwifwa [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Moyo ukioza unishtue nije nitunze tunguli
Hahaaaa kweli love is a blindWatu wasiojulikana wameshadukua tena akaunti ya Mshana jr!![emoji53][emoji53][emoji53]
duuuuhhh....Hata mimi mwenyewe natoka na Maxence Melo siku hizi kwa taarifa yenu
HAHAAAAAA ....ATI NINI ?? UNAONGEA NA MIMI AU WAONGEA NA SIMUSiku zote nimekuwa najiuliza inakuwaje mwanaume unatumia 'viemojiemoji' vya udaku kama kina mwanahamisi..ila leo uzi huu umenasibisha jinsi akili yako ilivyo cheketuliwa..empty set kabisa
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Demi chamdeko wangu.. Demi wa Jr... Demi wa mimiHun namiss vileee unanipakata miguuni huku nimelaza kichwa kifuani mwakooo
Ni mwanamke pekee hapa jf ninayejua macho yakoo baada ya kukuvua miwani.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahaaaa kweli love is a blind
Hatariiiiduuuuhhh....
AISEEE HAHAAANaona majini yanaoana.
Huyo Demis mchukue tu, alikosa soko humu,
daaahhh ....Up to this time I'm still thinking if this thread has started by mshana Jr. I think mshana Jr's account has hacked with invisible people.
Wenyeee wivuuuu wajinyongeee[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Demi chamdeko wangu.. Demi wa Jr... Demi wa mimi
Sana sana sana lakini salamaHatariiii
Kama demiss nakubali she is more than that japo sijawahi kumuona. Hongera sana mkuu kwa kuopoa..The happiest day ever.. Sensational n very romantic.... Its official announcement kwamba from today miss Demiss (chamdeko) is officially known as Mrs Jr[emoji769]
Napenda kudekewa na mtoto anajua kudeka! Napenda kuringiwa! Chamdeko ana hicho kipawa.. Napenda rangi ya dhahabu, vidole vya kike na lips [emoji182] zake! Sijayataja macho, mguu wa hadhi kishoes next level... Kiuno nyonga je? Asikwambie mtu mungu fundi na kalithibitisha hilo kwa the only one I truly adore.... That's Demiss chamdeko officially known as Mrs Jr
Karibu kinda langu unidekee mpaka roho zipate jakamoyo... Usijali mkubwa Angel Nylon katoa kibali kusaidiwa majukumu
Its only you Demiss... You know the feeling we have between our internal soulsView attachment 710174
Haya banaWenyeee wivuuuu wajinyongeee
Sio kitu rahisi kupendwa na mwanaume anayejielewa kama wee
Ni bahati isiyoelezeka nipo hapa kukupa thamani ya upendo wako kwa hali na maliiii hun.
Nakupenda wewe pamoja na ulozi wako.
Wananiambia eti umenipulizia vibuyuuu
Sikubaliani nao kabisaaaa hata kwa panga.
Nidekezeeeeee Hun wangu kama ninavyopenda kudekaaaaa[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
SalamaSana sana sana lakini salama