The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Siku zote nimekuwa najiuliza inakuwaje mwanaume unatumia 'viemojiemoji' vya udaku kama kina mwanahamisi..ila leo uzi huu umenasibisha jinsi akili yako ilivyo cheketuliwa..empty set kabisa
HAHAAAAAA ....ATI NINI ?? UNAONGEA NA MIMI AU WAONGEA NA SIMU
 
Hun namiss vileee unanipakata miguuni huku nimelaza kichwa kifuani mwakooo

Ni mwanamke pekee hapa jf ninayejua macho yakoo baada ya kukuvua miwani.
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Demi chamdeko wangu.. Demi wa Jr... Demi wa mimi
 
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Demi chamdeko wangu.. Demi wa Jr... Demi wa mimi
Wenyeee wivuuuu wajinyongeee

Sio kitu rahisi kupendwa na mwanaume anayejielewa kama wee

Ni bahati isiyoelezeka nipo hapa kukupa thamani ya upendo wako kwa hali na maliiii hun.

Nakupenda wewe pamoja na ulozi wako.

Wananiambia eti umenipulizia vibuyuuu

Sikubaliani nao kabisaaaa hata kwa panga.

Nidekezeeeeee Hun wangu kama ninavyopenda kudekaaaaa[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
The happiest day ever.. Sensational n very romantic.... Its official announcement kwamba from today miss Demiss (chamdeko) is officially known as Mrs Jr[emoji769]
Napenda kudekewa na mtoto anajua kudeka! Napenda kuringiwa! Chamdeko ana hicho kipawa.. Napenda rangi ya dhahabu, vidole vya kike na lips [emoji182] zake! Sijayataja macho, mguu wa hadhi kishoes next level... Kiuno nyonga je? Asikwambie mtu mungu fundi na kalithibitisha hilo kwa the only one I truly adore.... That's Demiss chamdeko officially known as Mrs Jr
Karibu kinda langu unidekee mpaka roho zipate jakamoyo... Usijali mkubwa Angel Nylon katoa kibali kusaidiwa majukumu
Its only you Demiss... You know the feeling we have between our internal soulsView attachment 710174
Kama demiss nakubali she is more than that japo sijawahi kumuona. Hongera sana mkuu kwa kuopoa..
 
Wenyeee wivuuuu wajinyongeee

Sio kitu rahisi kupendwa na mwanaume anayejielewa kama wee

Ni bahati isiyoelezeka nipo hapa kukupa thamani ya upendo wako kwa hali na maliiii hun.

Nakupenda wewe pamoja na ulozi wako.

Wananiambia eti umenipulizia vibuyuuu

Sikubaliani nao kabisaaaa hata kwa panga.

Nidekezeeeeee Hun wangu kama ninavyopenda kudekaaaaa[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Haya bana
 
Back
Top Bottom