The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Mambembe yupo huko atawaburudisha mm saiv naenda kwenye mapishi
Huyo wala hachukui muda wajamaa humu wakiona mbai wanachomoa

Naye Daby anachungulia tu subiri uone mahonda alikuwa hivi hivi kisha fichwa

Ndo maana tunasema mtt wa kike kurukaruka ni muda mfupi sana anaingizwa kwapani

Teh
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…