Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
-
- #1,081
Asante sana kwa maswali mazuri... Haya ni maswali ya kidunia nje ya hisia za kweli za upendo na mahusiano.....Ukiondoa mapambio yote uliyomsifia demiss naomba kukuuliza maswali yafuatayo;
1,kuna mdau hapa kaweka nyuzi kadhaa za demiss zinazotia shaka kuhusu maadili yake, mf kutoa siri za chumbani hadharani
Je umejipangaje usije kuachwa uchi hapa one day!
2,pili ni vigezo vipi unadhani umekidhi matamanio ya demiss,kiasi kuwa hatakuacha kama mapeshee wengine aliokuwa nao!
3,humu ndani kuna wakongwe kibao ambao ulikuwa nao jf for years, kwanini hukuwaona wao,na turufu yako kumuangukia member mpya asiye hata na mwaka 1 humu!
Nahitaji majibu sahihi kama ni reality na si utopian love!
Nitarudi na mengine!
Naongea ukweli wa moyo hakuna binadamu aso mapungufu na hakuna mkamilifu hata mmoja.. lakini katika maisha we need to chill we need to celebrate...
Nisiongee mengi kuhusu yeye but SHE DESERVED TO BE LOVED! NA ZAIDI TO BE LOVED BY ME! I respect and adore her toka moyoni huwa siangalii background but from where tumeanza... Chamdeko is for real