The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo kama ukiwa mbali

"NIACHE NIKUPENDE "

Nakupendaaaaaa sanaaaaaaa
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
 
Chamdeko wangu mmmmwaaa
Thamani ya Mapenzi yako ni kubwa kwangu
Haifanani nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali hisia zangu,.

USICHOKE KUNIPENDA MPENZI
 
Penzi langu kwako ni la milele, nitakuhifadhi moyoni
mwangu siku zote za maisha yangu, uwe wangu nami niwe wako
daima, nakupenda dear…
 
Mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahaba
sili nikamaliza,mapenzi ni raha kamwe cwez
kuipeza,nakupenda wewe pekee
 
Nakupendaaa mme wangu
Moyo wangu umejaaa mahaba teleeeee

Nakupenda mme wangu Jr
 
Labda nikufe... Na nikikufa bado nitakupenda tu.. I will come back to you in a very strange way... Kamwe hutakuwa mpweke
 
Wale Haters na wenye roho za kwanini kama ukishindwa kuhimili poleni sana hii haina namna ni kwa ajili ya Jr [emoji769] halafu uncensored...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]looooh hii ya leo kaliii
 
Halafu hata hivyo naanzaje kukufa kwa mfano..! nikuachie upweke na Maumivu na mafisi kama Asprin[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]SIKUFI NG'OTI
 
Wale Haters na wenye roho za kwanini kama ukishindwa kuhimili poleni sana hii haina namna ni kwa ajili ya Jr [emoji769] halafu uncensored...
Utawatoa rohoo mme wanguuu wale visokolokwinyo wasiopenda penzi letuuuuu
 
Halafu hata hivyo naanzaje kukufa kwa mfano..! nikuachie upweke na Maumivu na mafisi kama Asprin[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]SIKUFI NG'OTI
Na hata tukitaka kukufa tutakufa woteeee

Tukaendeleze penzi letu mbinguni

Naona mafisi wanataman uache tu nyama waichukue .

Sikubali kukufa peke yangu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Na habari hii imfike yule bazazi[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…