The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Mm nalala niko na hun hapa alikuwa anachek mpira nikaamua kuchungulia huku usiku mwema wewe endelea kudhurula humu jf
Hapana sina hata usingizi mimi, maana shem wako kanilaza mchana kutwa.
Na hapa nimeshipiga show ya kibabe ye amelala hoi.
 
Mme wangu kukutana nawe ilikuwa ni bahati, kukuchagua kuwa rafiki yangu ilikuwa ni maamuzi yangu, lakini kuanguka kwenye penzi lako haikuwa hiyari yangu.

Umeniteka moyo na akili yangu pia nahisi kama unatembea na moyo wangu popote paleee maana kila mtu ninayekutana naye barabarani natamani nimwambie jinsi unavyonipendaaa.

Kuitwaa kichaaa kwa sababu nakupenda nipo tayari maana hawajui unanipa nn ?

Hakuna mtu hapendi kupata mwenza anayejua kupenda na kuthamini upendo kama unavyonipa wewe .

Mrs Jr chamdeko.
 
Hahahaaa chamdeko wangu utasababisha turogwe ujue... Thanks for loving me the way you do my lovely soul
 
Hahahaaa chamdeko wangu utasababisha turogwe ujue... Thanks for loving me the way you do my lovely soul
Hivi na wee unaogopa vimbola[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mme wangu mpak waungane na wahindi ndo wataweza kutungua penzi letu.
 
Baadhi ya watu huzaliwa na vipaji.
Huweza kufanya mambo mazuri kwa ujuzi wao, lakini hamna anayekufikia wewe, kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa kizuri.
Ninapokuwa karibu yako huwa napata ulinzi wa kutoshaaa .

Wewe ni kati ya wanaume wanaopatikana hapa duniani kwa bahati sana kama madini ya Tanzanite
 
Nakupenda mpaka nakonda chamdeko wangu [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji7] [emoji7]
 
Hivi na wee unaogopa vimbola[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mme wangu mpak waungane na wahindi ndo wataweza kutungua penzi letu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yeah nimeona hata sauti haiko poa kabisa... Subiri nifike kilingeni nikafanye maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…