Duh Joseverest kuja ujibu hapaYan mwanamke aliyetambulishwa pote kuanzia kwenye familia amewekwa profile picture kawekwa ndani ya mjengo huyo ni PUBLIC
Mwanamke ambaye hajatimiziwa hayo au ni mchepuko kwa sababu mwanamme anao wengi anakosa wa kumtambulisha huyo ni PRIVATE
Cc. bby johson[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Hee vipi tena Baby shemCc. bby johson
Nataka akujibu kwa uzi wa kutambulisha coupleDuh Joseverest kuja ujibu hapa
Kwani wewe ni mchepuko wangu..mbona unayapa maneno ya watu kipaumbele love?Duh Joseverest kuja ujibu hapa
Nafikiri anasikiaNataka akujibu kwa uzi wa kutambulisha couple
Kwa jinsi hali ilivyo nahisi mi mchepuko kwa kweliKwani wewe ni mchepuko wangu..mbona unayapa maneno ya watu kipaumbele love?
Hapana usiseme hivyo, suala la ndoa sio la mchezoKwa jinsi hali ilivyo nahisi mi mchepuko kwa kweli
Mwambie utamfanyia supriseHapana usiseme hivyo, suala la ndoa sio la mchezo
Sawa ngoja niwe mpoleHapana usiseme hivyo, suala la ndoa sio la mchezo
hapo sawaSawa ngoja niwe mpole
asubiri tuMwambie utamfanyia suprise
Ewaaaaaaaasubiri tu
Mmwaaaa[emoji8] [emoji7] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji23] [emoji111]Hakikisho la mapenzi: . . umeingia moyoni
mwangu kukutoa itakuwa ngumu sana,wajua
moyo huwa unafunguliwa mara moja hasa kwa
ile true love . . .
Alafu na ile suprise yangu ya Next week nakonda na mawazoo mwenzioooo .
Mapigo ya moyo yanaongezeka kwa kasiiii sana kila nikiwaza promise yakooo uliyonipa [emoji182][emoji182][emoji182]
Nakupendaaaa
Shem avatar yako hiyo?Nataka akujibu kwa uzi wa kutambulisha couple
Kuna nn shemuShem avatar yako hiyo?
na mm naruhusiwa kujibu?Kwa kawaida busu la mafanikio hubusiwa
usoni, busu la amani hubusiwa mashavuni,
busu la upendo hubusiwa mdomoni, busu la
mapenzi hubusiwa shingoni, Je wapi nikubusu
ili unipende milele mme wangu?