The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

[emoji23] [emoji23] [emoji23] mjukuu umechangamka kweli, Ka umetiwa ndimu[emoji23] [emoji23] adi raha, mkwe wangu kweli anaenjoy...haboreki[emoji23]
Ndo hicho alichokipendea mkwee wako mwanamke shart uwe mchngamfu

Mwanaume anatoka kazin amechoka yanipasa nimpe mahabat na kumdekeza ili afurahie kuoa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bibi mzururaji
Bibi mdangaji huyuuuu asije akamdangia shemela wang hazard chukua silaha hii hapa umtungue akimdangia hazard
image_search_1522406268238.jpg
 
Aya jolie jolie ...kuja uku..maujanja na mautam yote namteua demiss akufunde[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona yupo vzur sn[emoji1]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]bibi wewe mfunde tuuu jaman mm hayo mambo ya kufunda siwez
 
Back
Top Bottom