Old Granny
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 392
- 555
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mjukuu umechangamka kweli, Ka umetiwa ndimu[emoji23] [emoji23] adi raha, mkwe wangu kweli anaenjoy...haboreki[emoji23]Baraka zako tu bibi ila 8 hapana 6 wanatosha sana na kimario chako umepata sanaaa
Utabidi nkutafute mwali wangu doohWe bibi unazingua kwa kweli,shida yako ndoa inishinde au?Tangu nimekwambia unipe kitchen party umeuchuna unataka niadhirike mwali mimi?
[emoji16][emoji16][emoji16]nimeona kwa kweliAbiria chunga mzigo wako
Ndo hicho alichokipendea mkwee wako mwanamke shart uwe mchngamfu[emoji23] [emoji23] [emoji23] mjukuu umechangamka kweli, Ka umetiwa ndimu[emoji23] [emoji23] adi raha, mkwe wangu kweli anaenjoy...haboreki[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bibi mzururajiPoooh huyu bibi anazurura mpaka jukwaa la siasa aghhhh
Bibi mdangaji huyuuuu asije akamdangia shemela wang hazard chukua silaha hii hapa umtungue akimdangia hazard[emoji23] [emoji23] [emoji23] bibi mzururaji
Adange kote ila asimdangie bby wanguBibi mdangaji huyuuuu asije akamdangia shemela wang hazard chukua silaha hii hapa umtungue akimdangia hazard
View attachment 730081
Aya jolie jolie ...kuja uku..maujanja na mautam yote namteua demiss akufunde[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona yupo vzur sn[emoji1]Ndo hicho alichokipendea mkwee wako mwanamke shart uwe mchngamfu
Mwanaume anatoka kazin amechoka yanipasa nimpe mahabat na kumdekeza ili afurahie kuoa.
Demis bado mtoto sana,mi nakutaka wewe bibi kikongwe mzoefu wa mamboAya jolie jolie ...kuja uku..maujanja na mautam yote namteua demiss akufunde[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona yupo vzur sn[emoji1]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]utamtoa ngokooooAdange kote ila asimdangie bby wangu
Mjukuu wangu jolie jolie czan Ka n mchoyo kias hko...[emoji1] [emoji1]Bibi mdangaji huyuuuu asije akamdangia shemela wang hazard chukua silaha hii hapa umtungue akimdangia hazard
View attachment 730081
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]bibi wewe mfunde tuuu jaman mm hayo mambo ya kufunda siwezAya jolie jolie ...kuja uku..maujanja na mautam yote namteua demiss akufunde[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona yupo vzur sn[emoji1]
Ndo ushangae mm mtoto mdogo mambo ya kufundana naanzia wapi?Demis bado mtoto sana,mi nakutaka wewe bibi kikongwe mzoefu wa mambo
Kizuri kula Na Bibiyo mjukuu wangu...demiss asikufundishe uchoyo[emoji317] [emoji317] [emoji317]Adange kote ila asimdangie bby wangu
Nasubiria jibu lakeee[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]Mjukuu wangu jolie jolie czan Ka n mchoyo kias hko...[emoji1] [emoji1]
Poooh wewe bibi unataka utenguliwe nyongaaaaKizuri kula Na Bibiyo mjukuu wangu...demiss asikufundishe uchoyo[emoji317] [emoji317] [emoji317]
Uweeeee uchungu wa mume waujua wewe?Kizuri kula Na Bibiyo mjukuu wangu...demiss asikufundishe uchoyo[emoji317] [emoji317] [emoji317]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Uweeeee uchungu wa mume waujua wewe?
Mjukuu nlikuona mkarimu na mpole...si kwa povu hili[emoji1] [emoji1] [emoji1]Uweeeee uchungu wa mume waujua wewe?
Mdogo lakin unaonekana upo vzue weyeeNdo ushangae mm mtoto mdogo mambo ya kufundana naanzia wapi?