The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Utakuwa wangu wa maisha daima na penzi letu litakuwa kama mfuko wa hazina, tutalitunza kama zaidi ya mboni ya jicho.

Nakupenda mme wangu Jr.
 
Mmmmmmmmwaaaaaaa
Siku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye, ukweli usio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu, moyoni mwangu nimeridhia...

Nakupenda daima mpenzi!

Uwe na asubuhi njemaaaa
 
Nakupenda kwa kuwa umegundua thamani ya penzi langu nakuahidi utafaidi utamu wa mapenzi yangu.

My hun

My love

Huby

Husband

My chocolate

My sweeeeery

Mshana jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…