The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Naomba beef lasagna uniachie bro nakuheshimu sana.kuna mtu ameweka uzi kwmba umegonganisha magari.yaani beef na mwenzie flani hivi yuko kwa madiba.please bro ingawa sijamwambia beef ni kiasi gani nampenda wala hajui kuna mtu amemfia!by all means naomba uniachie huyu mtoto bro kwa heshma na taadhima
 
Mwaaa
Habari zako , za moyo wako , za tabasamu lako , za kicheko chako , sauti yako na kila kitu kizuri chako ? Najua kila kitu kitakuwa safi sana kuanzia moyo wako mzuri na mtamu uliojaa upendo na mapenzi ya dhati kabisa ulio mkweli na mvumilivu . Angalia ndani ya moyo wako , utakuta hakuna kitu cha kuficha , pengine unaweza kuficha kwa sababu ni wajibu wa kila mtu katika maisha yake , lakini linapokuja suala la kupendana basi mambo ya kuficha hakuna tena kama ukiwa na uhakika kuhusu uhusiano wako . Nikifikiria kuhusu wewe , nafikiria kuhusu dunia ya mapenzi iliyo nyooka na iliyo katika njia sahihi kabisa , mpaka hapo jua tu mimi na wewe mpaka milele kwenye mabonde twende Dear ,
, baharini tuogelee hata hewani tutapaa . Tabasamu lako ambalo ndio nalipenda zaidi , na kila mara huwa nalihisi liko mbeleni mwangu lakini kama unavyojua muda mwingi uko mbali najaribu kufikiri tu je kama tungekuwa tuko wote masaa 24 siku 7 usiku na mchana sijui ningesema maneno gani kusema za ukweli namisi tabasamu lako maridani Kicheko chako ambacho nikisikia moyo wangu huenda kasi kuliko wakati wowote ule , Dear labda nikuambie kitu Fulani , mimi napenda sana kusikia vicheko , unajua kuna wakati ukiwa sehemu Fulani Fulani jinsi unavyocheka ndio watu wale wanavyoweza kukuweka katika kundi gani , wewe kicheko chako nakuweka katika kundi la wanadamu maridani . Hiyo sauti yako ni zaidi ya Jay zee honey kama hujui au hujawahi kusikia , Jay zee ndio mwanamuziki wa kiume mwenye sauti ya mvuto zaidi duniani mpaka sasa hivi .

Kuna nyimbo moja nzuri kabisa aliimba Coco lee na Julio Iglesius inaitwa WHEN U TELL ME THAT U LOVE ME naomba uisikilize na pengine ungeamua kuimba leo ningekuwa naandika kuhusu kitu kingine cha zaidi . Honey huwa napata furaha sana kila ninapopata wasaa wa kukuandikia email , kila ninapopata nafasi ya kukusalimia wewe , wengine hawapati nafasi hii kutokana na sababu zao mbali mbali , wengine hawana mikono ya kuandika , wengine wameachana na wapenzi wao , wengine wamegombana na wapenzi wao na kadhalika lakini mimi nafurahi nakuandikia email hii kwa furaha kuu kuliko zote . Kikomo naishia hapa , naomba tuendelee kuwasiliana siku nyingine tena , mwisho wa barua moja ndio mwanzo wa barua nyingine nzuri na bora zaidi , kwahiyo usijali sana mr wangu .
Natamani ningekuwa kengele
Ningelia unisikie hapo ulipo
ni wako barafu wa moyo
[emoji813]••.¸¸.• mahabat •.¸¸.••[emoji813]

Cha mdekoooooooooooo
hili gazeti si mchezo..
ukilisoma wageuka urojo huko huko uliko!
 
Back
Top Bottom