Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wewe privateUmedanganywa nipo mjengoni kitambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wewe privateUmedanganywa nipo mjengoni kitambo
Tunasubiria uzi mrefuu hapa, mtu akipewa sifa zake!Hahahaaa. Ndio Kaka sababu huwa ni tegemeo la kila mmoja.
Nilikuona kule unanipa dongo mm nimemuiba shemeji wakat mwenzio kitambo tunguli zimeshanitekaaaaaaWe mbayaaa...
Hata karibu jamanii
BabeEeeh!
When you believe magic is real..[emoji102]
Kila la kheri wakuu
Hahaaa. Kumbe ulikuwa unammendea mdogo wangu. Lol.Ndiio maana ukanikazia, kumbe mambo ni motroooo!
BTW, hongera saaana
Dada yan kuanzia leo nahamia kule kwenye mapishiiiiHatimaye mdogo wangu umedondokea kwa Muhenga. lol.
Haya na wewe uwe Kihenga henga sasa. Utoto tupa kule. Teh teh teh
Kabisaaaaamkuu atakula VINONO
Hahahaaa. Yaani hizi za leo ndogo. Lol.Tunasubiria uzi mrefuu hapa, mtu akipewa sifa zake!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Emmy, chereko na vigelegele tutegemee?
My angelBabe
Hahaaa. Kumbe ulikuwa unammendea mdogo wangu. Lol.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Hahahaaa. Yaani hizi za leo ndogo. Lol.
Jifunze tu mdogo wangu. Shemeji apate kula vinono.Dada yan kuanzia leo nahamia kule kwenye mapishiiii
Nijifunze kumpikia mme wangu chakula
Kitamuuuu
Hahaha, Hapana, nipo kwenye mji wake Dodoma, nilitaka tusalimiane tu,Hahaaa. Kumbe ulikuwa unammendea mdogo wangu. Lol.
Acha tu dada saivii nahamia jukwaa la Jamii intlgnc nikaungane na mme wanguJifunze tu mdogo wangu. Shemeji apate kula vinono.
Dada nakuona ulivyocheka kwa saut
Usisahau kunitag!Hahahaaa. Yaani hizi za leo ndogo. Lol.
Hahahaaa. Hiyo salamu yako ya Mubashara inanipa hofu ujue. [emoji12] [emoji12]Hahaha, Hapana, nipo kwenye mji wake Dodoma, nilitaka tusalimiane tu,
Naamini Mshana hawezi leta shida!
Hahahaaa. Kama umeniona vile.Dada nakuona ulivyocheka kwa saut