The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Mkuu ndumba ulizotumia kumnyang`nya gudume demu wake si za kitoto
image_search_1520698192944.jpeg


Siyo za nchiii hiiii
 
Missy....lipicha gani sasa hilo?

Mimi sijakomaa hivo bana.

Hebu tafuta picha nzuri nzuri teh teh teh!

Halafu mimi na Mzigua tukienda Mwanza tutapiga mapicha 1,000 tukiwa Malaika halafu tutakutumia.
image_search_1520768785338.jpeg


Mnataka mkamtoe roho yule wa Mwanza

Mwaka huuu kuna watu watajinyonga kwa kweliiii

Mnitumie mapicha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Tena nitayatuma kwa Mr miller
 
Back
Top Bottom