Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Najua Hilo MbonaDemiss ni mrembo sana mie namjuaaa. Hongera mshana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua Hilo MbonaDemiss ni mrembo sana mie namjuaaa. Hongera mshana
Dada jaman umepata shemej kwa kweliDemiss ni mrembo sana mie namjuaaa. Hongera mshana
Dada huyo ni classmate wanguuuuHahahaaaaa dahh. Ila unampamba kwa kuotea au unamfahamu kweli?? Mie namfahamu vyedi hizo sifa wala hujakosea kasoro za shule ndo sijui ila kwa urembo tuu mashalaahh
Safi sana mdogo wangu tulia hapo hapoDada huyo ni classmate wanguuuu
Anayosema ni ukweli 100%
Watu walikuwa wanaponda ila wanaojua wanasemaaaa ndo maana shemeji yako kadata Mshana.
Akija Dodoma lazima nimpeleke PizzeriaSafi sana mdogo wangu tulia hapo hapo
Niliona kama wajiulizaNajua Hilo Mbona
Hahahaaa mie hata sipajui au mpeleke nyerere skwea akashangae sanamu ya nyerereAkija Dodoma lazima nimpeleke Pizzeria
Mhhhh hebu tuvute muda kwanza tutajua tuu kama ni tunguli au nini. Ila hata kama ni tunguli poa tuu kikubwa upendo unajua mtu mpk akutungule ujue amekupendaa mnoo😀😀Dada jaman umepata shemej kwa kweli
Usiniambie itakuwa nimepuliziw tunguli au ni upendo tu?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nitampeleka dadaHahahaaa mie hata sipajui au mpeleke nyerere skwea akashangae sanamu ya nyerere
Nimecheka sanaMhhhh hebu tuvute muda kwanza tutajua tuu kama ni tunguli au nini. Ila hata kama ni tunguli poa tuu kikubwa upendo unajua mtu mpk akutungule ujue amekupendaa mnoo😀😀
Abeeecajojo eer
HahahaaaahaaaNimecheka sana
una kajina kazuriiiiAbeee
Ni wauza k wamejazana humu wala usihofu ni wauza k kama unaowafahamu mtaani kwenu sema humu wanatumia I'd fakeHivi wakuu, haya mapenzi na ndoa za humu jf huwa ni kweli au ni changamsha genge tu? Nyuzi za namna hii siku hizi zimejaa humu na zimekaa kishua zaidi. Kuna wakati nahisi mimi kapuku nawabana kabisa!