The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Huu uzi naona kuna watu wanatukana kimya kimya vidole vinawawasha wanataka waje na la moyoni lakini wanashindwa wataanzia wapi.
Mr & Mr's Tunguli jiandae kuna ma haters wanawanyapia nyapia ..nawaona kwa mbaali [emoji40][emoji40][emoji40]
 
Nimeshawaona tayari ni wale wale wa siku zote japo baadhi wamekuja kwa ID mpya... Ujumbe wangu kwao... Love don't hate.. Hatred brings stress diseases and old age..
 
Huu uzi naona kuna watu wanatukana kimya kimya vidole vinawawasha wanataka waje na la moyoni lakini wanashindwa wataanzia wapi.
Mr & Mr's Tunguli jiandae kuna ma haters wanawanyapia nyapia ..nawaona kwa mbaali [emoji40][emoji40][emoji40]
Photo+Collage+Maker_2aOe6Y.png

Tena nawaambia hasira zaoo ziishie huko huko waje hapa wakiwa na heshima zaoooo .

Mapenzi ya kweli kutoka moyoni huwez kuyaharibu.

Alafu sasa Mr jr utaanzaje kwa mfano au watamshawishi vipi.
 
Back
Top Bottom