Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Tupige stor tu mkuuna mm naruhusiwa kujibu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupige stor tu mkuuna mm naruhusiwa kujibu?
Tembelea pm utapata tu mkuunimebaki peke angu sijaopoa humu,
ngoja nivute subra
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
yaan nlivokuwa mvivu wa PM,Tembelea pm utapata tu mkuu
nambie sasa unahitaj msaada nikutafutie kwenye rada muke mnaoendana nyotayaan nlivokuwa mvivu wa PM,
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Yule demu wako aliyebadili dini ulimuacha au?yaan nlivokuwa mvivu wa PM,
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
usinkumbushe aiseeeh, watonesha kidonda sasa [emoji15]Yule demu wako aliyebadili dini ulimuacha au?
May you begin this day with a smile on your face, and with happiness for your soul to embrace.Hapana
Poleee sana rafikusinkumbushe aiseeeh, watonesha kidonda sasa [emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji109] [emoji109] [emoji109]Loooovee yuuuuuu mpaka CHENCHI inabaki njoo chumbani maramoja
Una waume wangapi Shem.Kwa kawaida busu la mafanikio hubusiwa
usoni, busu la amani hubusiwa mashavuni,
busu la upendo hubusiwa mdomoni, busu la
mapenzi hubusiwa shingoni, Je wapi nikubusu
ili unipende milele mme wangu?
Mwambie atangaze kufungua biashara na msimamizi awe women.Tembelea pm utapata tu mkuu
Duh!May you begin this day with a smile on your face, and with happiness for your soul to embrace.
Good Morning my love.
Husband
Hun
Hubby
My World
My king.
Ninaye mmoja mshana peke yakeeeUna waume wangapi Shem.
Nimependa Hayo Maneno Ya Mwisho Kabisa "Mrs Jr Charm Deko" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mme wangu kukutana nawe ilikuwa ni bahati, kukuchagua kuwa rafiki yangu ilikuwa ni maamuzi yangu, lakini kuanguka kwenye penzi lako haikuwa hiyari yangu.
Umeniteka moyo na akili yangu pia nahisi kama unatembea na moyo wangu popote paleee maana kila mtu ninayekutana naye barabarani natamani nimwambie jinsi unavyonipendaaa.
Kuitwaa kichaaa kwa sababu nakupenda nipo tayari maana hawajui unanipa nn ?
Hakuna mtu hapendi kupata mwenza anayejua kupenda na kuthamini upendo kama unavyonipa wewe .
Mrs Jr chamdeko.
Nampenda babu yako mpaka naumwaa vip mtoto anaendeleje mkono ?Nimependa Hayo Maneno Ya Mwisho Kabisa "Mrs Jr Charm Deko" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa Haya Mahaba Kwann Nyumba Ya Pili Isiwake Moto.....???[emoji23] [emoji23] [emoji23]Loooovee yuuuuuu mpaka CHENCHI inabaki njoo chumbani maramoja