Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Me too☹I was expecting some sort of a "happy ending" to this story.. vp, itaendelea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me too☹I was expecting some sort of a "happy ending" to this story.. vp, itaendelea?
I was expecting some sort of a "happy ending" to this story.. vp, itaendelea?
Granny Kasie Vipi babu akijua au mapenzi yashachuja mwenzetu saivi ni jirani next door
Mkikutana tena mmalize tu, sababu inaonyesha hata we pia unamuelewa sema basi tu...Aahahahahahahaaa jamaniiii....
Msifanye hivyo... 😆😆😆
Mkikutana tena mmalize tu, sababu inaonyesha hata we pia unamuelewa sema basi tu...
Weeh Kasie ni mtata hadi akubali happy ending ujue nyege zimetamalaki hadi kwenye kope aahahahahaa
Ngoja tusubiri weekend ijayo inaweza ikawa na happy ending, we agree to have some dinner together..😋
Tatizo lililopo hapa inaonekena jirani sio mtu wa action 😃😃😃Hilo hata mimi nimeliona. Yaani hapa labda jamaa ashindwe mwenyewe tu kujiongeza ila mchezo umeshaisha zamanii..😀 Uzuri wa mwanamke bana akishakuelewa basi kazi inayobaki ni ndogo sana ka akumsukuma mlevi tuu..
Tatizo lililopo hapa inaonekena jirani sio mtu wa action 😃😃😃
Jirani, whatever you feel is what I feel! Let's talk nikirudi nyumbani! What would you like for dinner?[emoji6]Hi everyone,
I hope you have a bright Sunday, Super weekend na nini na nini hata kama mambo yako ndivyo sivyo, have faith it’ll come your way just work hard.
Sasa bana, huku nnakoishi uswazi, mlango wa kuingia kwangu unatizamana na mlango wa jirani yangu ambaye huwa hatuonani
Fingers cross🤞🏼🤞🏼🤞🏼Hahaaa..😁 mi bado nna imani na jirani maana so far naona ameanza vizuri na amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kumteka bibie kimawazo mpaka kaona aje atusimulie humu. Nina imani kabisa next weekend things are going down 🤞
Jamaa yangu alioa mpangaji mwenzake hivi hivi😀😀Hi everyone,
I hope you have a bright Sunday, Super weekend na nini na nini hata kama mambo yako ndivyo sivyo, have faith it’ll come your way just work hard.
Sasa bana, huku nnakoishi uswazi, mlango wa kuingia kwangu unatizamana na mlango wa jirani yangu ambaye huwa hatuonani kutokana na shughuli zake. Anatoka alfajiri sijui anarudigi saa ngapi, siku tukibahatika tunakutana kwenye korido au getini aidha yeye anaingia mie natoka ama yeye anatoka mie naingia.
.
....I couldn't hear "knock knock" at my door..[emoji12][emoji12]Aahahahahahahaa
Pole jirani, sirudii tena kukunyima usingizi.
Leo nakuja kukugongea saa tano na nusu [emoji12].
Jirani OG nipo hapa..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Jirani[emoji1787][emoji1787]
Hilo hata mimi nimeliona. Yaani hapa labda jamaa ashindwe mwenyewe tu kujiongeza ila mchezo umeshaisha zamanii..😀 Uzuri wa mwanamke bana akishakuelewa basi kazi inayobaki ni ndogo sana ka akumsukuma mlevi tuu..
Usiache kuleta mrejesho mkuu, kwa hizi fireworks nazoziona hapa najua kabisa happy ending is guaranteed 😁