The Man Next Door

The Man Next Door

I was expecting some sort of a "happy ending" to this story.. vp, itaendelea?

Weeh Kasie ni mtata hadi akubali happy ending ujue nyege zimetamalaki hadi kwenye kope aahahahahaa

Ngoja tusubiri weekend ijayo inaweza ikawa na happy ending, we agree to have some dinner together..😋
 
Granny Kasie Vipi babu akijua au mapenzi yashachuja mwenzetu saivi ni jirani next door

Weeeh Aahahahahaa jeuri hiyo naitoa wapi....

Dadii ni funga kazi kwenye maisha yangu, nshashindwa kujinasua kwake.
Mie ni kuruta mbele ya Dadii ananipelekesha anakotaka natii bila shuruti.

Sema nini..... bangeee, halafu bonge yenyewe huyu huyu babu Dadii ananitumiaga kwa FedEx, basi nikishaipuliza tuu inaanzia chini kule... 😜😜

Dadii (babu) ndo namba moja wangu
Dadii ndo stafutahi yangu
Dadii ndo blanketi langu
Mengine namezea wasije niibia na kumteka Dadii wangu bureee nikakosa utamu 😅

Kasie Platinum Matata.
 
Sasa haya maongezi jamani takribani saa nzima jirani alikuwa ana sera gani??

Yaani tumeongea mambo mengi, halafu jirani yuko humble kidogo tuu jirani samahani nimekuchosha...

Yaani alfu lela ulela nyingi tuu....😜
 
Mkikutana tena mmalize tu, sababu inaonyesha hata we pia unamuelewa sema basi tu...

Hilo hata mimi nimeliona. Yaani hapa labda jamaa ashindwe mwenyewe tu kujiongeza ila mchezo umeshaisha zamanii..😀 Uzuri wa mwanamke bana akishakuelewa basi kazi inayobaki ni ndogo sana ka akumsukuma mlevi tuu..
 
Weeh Kasie ni mtata hadi akubali happy ending ujue nyege zimetamalaki hadi kwenye kope aahahahahaa

Ngoja tusubiri weekend ijayo inaweza ikawa na happy ending, we agree to have some dinner together..😋

Usiache kuleta mrejesho mkuu, kwa hizi fireworks nazoziona hapa najua kabisa happy ending is guaranteed 😁
 
Hilo hata mimi nimeliona. Yaani hapa labda jamaa ashindwe mwenyewe tu kujiongeza ila mchezo umeshaisha zamanii..😀 Uzuri wa mwanamke bana akishakuelewa basi kazi inayobaki ni ndogo sana ka akumsukuma mlevi tuu..
Tatizo lililopo hapa inaonekena jirani sio mtu wa action 😃😃😃
 
Tatizo lililopo hapa inaonekena jirani sio mtu wa action 😃😃😃

Hahaaa..😁 mi bado nna imani na jirani maana so far naona ameanza vizuri na amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kumteka bibie kimawazo mpaka kaona aje atusimulie humu. Nina imani kabisa next weekend things are going down 🤞
 
Jirani na leo nitakua na shida naomba usikae mbali na mlango nikigonga uje mapema.
 
Hi everyone,

I hope you have a bright Sunday, Super weekend na nini na nini hata kama mambo yako ndivyo sivyo, have faith it’ll come your way just work hard.

Sasa bana, huku nnakoishi uswazi, mlango wa kuingia kwangu unatizamana na mlango wa jirani yangu ambaye huwa hatuonani
Jirani, whatever you feel is what I feel! Let's talk nikirudi nyumbani! What would you like for dinner?[emoji6]
 
Hahaaa..😁 mi bado nna imani na jirani maana so far naona ameanza vizuri na amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kumteka bibie kimawazo mpaka kaona aje atusimulie humu. Nina imani kabisa next weekend things are going down 🤞
Fingers cross🤞🏼🤞🏼🤞🏼
 
Hi everyone,

I hope you have a bright Sunday, Super weekend na nini na nini hata kama mambo yako ndivyo sivyo, have faith it’ll come your way just work hard.

Sasa bana, huku nnakoishi uswazi, mlango wa kuingia kwangu unatizamana na mlango wa jirani yangu ambaye huwa hatuonani kutokana na shughuli zake. Anatoka alfajiri sijui anarudigi saa ngapi, siku tukibahatika tunakutana kwenye korido au getini aidha yeye anaingia mie natoka ama yeye anatoka mie naingia.
.
Jamaa yangu alioa mpangaji mwenzake hivi hivi😀😀
 
Siku sio nyingi granny kasie atalazwa kifo cha mende na jirani..
 
Aahahahahahahaa

Pole jirani, sirudii tena kukunyima usingizi.

Leo nakuja kukugongea saa tano na nusu [emoji12].
....I couldn't hear "knock knock" at my door..[emoji12][emoji12]
Ila jirani umenifurahisha sana
 
Mkikutana tena mmalize tu, sababu inaonyesha hata we pia unamuelewa sema basi tu...

Aaahahahahahahahaaa

Jamaniii, najizuia sana ujueee....

Wacha nianze kumkwepa...😜
 
Hilo hata mimi nimeliona. Yaani hapa labda jamaa ashindwe mwenyewe tu kujiongeza ila mchezo umeshaisha zamanii..😀 Uzuri wa mwanamke bana akishakuelewa basi kazi inayobaki ni ndogo sana ka akumsukuma mlevi tuu..

Aahahahahahhaaa looh

Itabidi kila nikikutana na jirani niweke uso wa kauzu 😅.
 
Usiache kuleta mrejesho mkuu, kwa hizi fireworks nazoziona hapa najua kabisa happy ending is guaranteed 😁

Mrejesho utakuja ila najijua. Nabadilisha hia angani fastaa, no happy ending wala nini sanasana tutabambiana kwenye dancing floor tuu ....
 
Back
Top Bottom