Hahaaa..π mi bado nna imani na jirani maana so far naona ameanza vizuri na amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kumteka bibie kimawazo mpaka kaona aje atusimulie humu. Nina imani kabisa next weekend things are going down π€
We liseme tu jiraniAahahahahahaa acha kabisa....
Jirani kapiga hatua....
Naogopa hata kuisema hapa.
Aahahahahahaa acha kabisa....
Jirani kapiga hatua....
Naogopa hata kuisema hapa.
Ulisema mwenyewe kuwa una genye..acha jirani afanye mambo..unajibana bana ili iwe nini Kasie binti mahaba?Darmie, hata wewe...!!!?
Aiseeeh napambana asiniangusage....!!
Mda si mrefu Kasie ataleta thread ya
"When Kasie is madly in love with neighbor next door "
Me and Romeo and Sarah and James......
Aahahahahahaa yaani hii wiki looh...!!