The Man Next Door

The Man Next Door

Tatizo lililopo hapa inaonekena jirani sio mtu wa action ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Aahahahahahhaa halafu ni mstaarabu mnoo.

Yaani hadi anavyotembea....
 
Hahaaa..๐Ÿ˜ mi bado nna imani na jirani maana so far naona ameanza vizuri na amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kumteka bibie kimawazo mpaka kaona aje atusimulie humu. Nina imani kabisa next weekend things are going down ๐Ÿคž

Jamaniiii aahahahahahahaa

Msiniombee hivyo, wacha nianze kumkazia jirani tukionana sicheki wala nini namuwekea uso wa kiaskari kilatukionana ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜œ
 
Jirani na leo ntakua na shida naomba usikae mbali na mlango nikigonga uje mapema.

Aahahahahahaa acha kabisa....
Jirani kapiga hatua....

Naogopa hata kuisema hapa.
 
Jirani, whatever you feel is what I feel! Let's talk nikirudi nyumbani! What would you like for dinner?[emoji6]

Woow, thanks for the invitation, I will take what suite you for dinner.
 
Fingers cross๐Ÿคž๐Ÿผ๐Ÿคž๐Ÿผ๐Ÿคž๐Ÿผ

Aahahahahahaaa looh

Sikubali jirani achukue point, nakaza hadi aghairishe muamala ๐Ÿ˜œZ
 
Mda si mrefu Kasie ataleta thread ya

"When Kasie is madly in love with neighbor next door "

Me and Romeo and Sarah and James......

Aahahahahahaa yaani hii wiki looh...!!
 
Aahahahahahaa acha kabisa....
Jirani kapiga hatua....

Naogopa hata kuisema hapa.

Wee bana sisi tumeshakua wadau muhimu kwenye hii situeshenship yenyu kwahiyo unawiwa kutupa updates kila hatua..

Na kama umeshasoma upepo hapa ni kwamba wengi tupo upande wa jirani ๐Ÿคฃ Kila hatua anayopiga kuikaribia nchi ya ahadi kwetu ni ushindi mkubwa.....!!

Haya, hebu tuambie ni hatua gani hiyo mpya amepiga? Usituache gizani watu tunashindwa kupata usingizi......๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Picha za nyumba hazikubaliani na maelezo ya kamba za kuanikia nguo.
 
Nime kula tunda la jirani yangu Kasie kimasihara. Jirani anatiririka kwenye uzi pendwa....
 
Darmie, hata wewe...!!!?

Aiseeeh napambana asiniangusage....!!
Ulisema mwenyewe kuwa una genye..acha jirani afanye mambo..unajibana bana ili iwe nini Kasie binti mahaba?
 
Mda si mrefu Kasie ataleta thread ya

"When Kasie is madly in love with neighbor next door "

Me and Romeo and Sarah and James......

Aahahahahahaa yaani hii wiki looh...!!

Aahahahahahaaa yaani nyie wadau....๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ

Kweli nimeamini wapambe bin wajumbe ni hatariii....

Mnaweza badilisha matokeo hivihivi....

Ila niko safe jamani, msifanye Dadii presha ikapanda akashindwa kunifanyia rhomboids massage ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹.
 
Back
Top Bottom