Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
Nimejaribu kumfuatiliafuatilia kidogo kwenye vi clip.Huyu kwenye mechi 33 alizocheza senior team ana kadi za njano 13
Yeah nmewatch some of his clips si haba kwakwelHuyo ni mkata umeme hana mbambamba...
Huyu sasa mbona kama mvunja kuni kadi zote hizo?Huyu kwenye mechi 33 alizocheza senior team ana kadi za njano 13
Ni mcheza faulo mzuri sana. Ila softy game pia Yuko vizuri, ana passing accuracy kubwa.Huyu sasa mbona kama mvunja kuni kadi zote hizo?
We' ve concede most of goals from counter attacks.Msimu uliopita baada ya mechi 19 kwenye ligi
Man city ilikuwa imefunga magoli 50 imefungwa 12.
Msimu Huu baada ya mechi 19 imefunga magoli 50 imefungwa 20.
Maana yake defence ya man city msimu huu ni fragile kuliko msimu ulopita.
Huyu anaweza akatolewa kwa mkopo ama kalvin Phillips aondoke ili Kuaccomodate nafasi yake...ni ngumu kuwa nao wote 3 kwa wakati mmoja.Ni mcheza faulo mzuri sana. Ila softy game pia Yuko vizuri, ana passing accuracy kubwa.
Nadhani ndio hicho kimemvutia pep.
Ana potential, hayo mengine pep atam transform awe perfect product.
Nadhani Philips ataondoka.Huyu anaweza akatolewa kwa mkopo ama kalvin Phillips aondoke ili Kuaccomodate nafasi yake...ni ngumu kuwa nao wote 3 kwa wakati mmoja.
Umemsahau na kitombi Benjamin Mendy.Guys we need a natural left back.
Hatuwezi kumtegemea Ake siku zote ambaye naturally ni center back.
Cancelo Yuko kwenye default mode, sergio Gomez tulipigwa.
Kuna tetesi tunamtaka Ferland Mendy.
Huyo ile kesi yake imemuharibia career.Umemsahau na kitombi Benjamin Mendy.
Ila Mimi naona Philips anachokosa ni confidence tu.Nadhani Philips ataondoka.
Haaland sidhani kama ni mkaaji sana hapo etihad.[emoji170]View attachment 2494195
Hapo game ya asenyo ndio itakuwa na changamoto tu ..February tuna mechi 5 za ligi na 1 ya UCL.
February 5 sat, EPL
-Tottenham vs Man City
February 12 sun, EPL
-Man city vs Aston Villa
February 15 wed, EPL
-Arsenal vs Man City
February 18 sat, EPL
-N. Forrest vs Man City
February 22 wed, UCL
-RB Leipzig vs Man City
February 25 sat, EPL
-Bournemouth vs Man City
Available points: 15
I predict 10+