Mwasiti imeshajifia kwenye mikono ya Pep, kuna wachezaji zaidi ya 5 wanalalamika hawana furaha na kocha.Kila la kheri Arsenal
City 3 : 2 arsenal amini kwamba.Mwasiti imeshajifia kwenye mikono ya Pep, kuna wachezaji zaidi ya 5 wanalalamika hawana furaha na kocha.
Leo kimasihara wanaweza kuosha vyombo kwenye karo lao wenyewe ingawa mimi natamani Arsenyani achapike. View attachment 2497414
arsenyani akili zinawaza ligi tu.Kila la kheri Arsenal
Asernal lazima achapike ..hii mechi ya leo sioni kama itakuwa na magoli mengi sana kuna uwezekano mmoja akashinda 2_0 au 1_0 au 0_0 magoli mengi leo yanaweza kuwa 2_1.
Kwa hizo beki chochoro Akanji na Ake??Asernal lazima achapike ..
Hio lineup ya arsenal ni kituko ,yaani wakitufunga Kwa hio lineup niite mbwa. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hizo beki chochoro Akanji na Ake??View attachment 2497638
Kama mbwa ni mbwa tu, lau uitwe ama laHio lineup ya arsenal ni kituko ,yaani wakitufunga Kwa hio lineup niite mbwa. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Lazima arsenal Leo achapike ,anakuja kwenye ligi kichapo ,kama tulivomfanya Chelsea ...Kama mbwa ni mbwa tu, lau uitwe ama la