Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,446
- 14,880
Mwasiti imeshajifia kwenye mikono ya Pep, kuna wachezaji zaidi ya 5 wanalalamika hawana furaha na kocha.Kila la kheri Arsenal
Leo kimasihara wanaweza kuosha vyombo kwenye karo lao wenyewe ingawa mimi natamani Arsenyani achapike.