Kwamba saka huwa anakabwa na watu wangapi?Karibuni Emirates!
Overrated stadium ,hakuna maajabu yeyote huo uwanja...Karibuni Emirates!
Kwamba saka huwa anakabwa na watu wangapi?
Acheni makasiriko. Kila mtu na wakati wake. Si mtakuja pale tar 15 Feb, maneno mengi ya nini..Overrated stadium ,hakuna maajabu yeyote huo uwanja...
Uwanja mgumu uingereza ni anfield tu ...Acheni makasiriko. Kila mtu na wakati wake. Si mtakuja pale tar 15 Feb, maneno mengi ya nini..
Niwaambie tu, Emirates hamuwezi kuondoka na point 3. Mmepata sana basi sare.
Bora aisee Jana alikuwa ananikera kukabia macho mpaka trossard kidogo atufunge ...sema Ortega alikuwa kwenye form ..Stones ndio hivyo tena.
harmstring injury
Ruben dias awe anaanza sasa..Bora aisee Jana alikuwa ananikera kukabia macho mpaka trossard kidogo atufunge ...sema Ortega alikuwa kwenye form ..
Siku zote Laporte Yuko vzuri ,proper CB
Jamaa kazinguana na pep na anataka kuondoka.Mnamtoa Cancelo, mna akili kweli?
Huenda jamaaa ana matatizo ya kitabia.Jamaa kazinguana na pep na anataka kuondoka.