The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Iyo 12+ win sio kwa msimu huu, hamna iyo timu acheni kukariri vitu
Timu ya kwenda mechi 12 ipo ila fighting spirit ya kutupeleka hizo game ndio hakuna.

mkuu huwa unaangalia hata mechi za city au unakuja ku judge tu?

umeona namna uchezaji wa foden, cancelo, walker, laporte, bernado na hata muda mwingine kdb ulivyo?
 
Timu ya kwenda 12 + win ni ile ya kina aguero ,sane , sterling wa motooo.....

Sasa hii front line ya grealish - haaland - Mahrez - foden .....Bado sanaaa,.....

Ndio maana Kwa Sasa kule mbele kupeleka mashambulizi sio Sana ,hatuna front 3 kalii , grealish anapoza mashambulizi ,Mahrez ni mtu wa kukumbatia mpira ,haaland bila cross kumpeleka ni majanga ....shots on target ndio maana tunamaliza game ni chache .....
Mkuu, huyo sane na aguero msimu uliopita wakati tunaenda mechi 10+ walikuwepo?
sterling alikuwa regular starter?

Hao grealish na mahrez si ndio walikuwa ma regular starter last season?
 
Manchester city are set to sign Cardiff city U16 and wales U17 international goalkeeper, Lewys Benjamin.

The player will join in the summer with paperworks now signed and medical tests taking place.

@FabrizioRomano
 
Timu ya kwenda mechi 12 ipo ila fighting spirit ya kutupeleka hizo game ndio hakuna.

mkuu huwa unaangalia hata mechi za city au unakuja ku judge tu?

umeona namna uchezaji wa foden, cancelo, walker, laporte, bernado na hata muda mwingine kdb ulivyo?
Huko kukosa fighting spirit ndio kufeli kwenyewe.

Tujipange na msimu ujao tu, tuwaachie wanaotaka kwenda waende, turefresh kikosi na kukijenga upya.

Tukiendelea kuwang'ang'ania kina gundo, walker laporte na bernado wakati wenyewe wameshachoka kukaa hapo matokeo yake tutaanza "pep out".
 
Mkuu, sijakataa kwamba msimu huu tumedrop ila
Nilikuwa namuelewesha huyo jamaa hapo anayesema hakuna winning team.

Kutokuwa na winning team maana yake either huna wachezaji wenye quality ya kukupa matokeo consistently au huna benchi la ufundi lenye mbinu ama vyote kwa pamoja.

Sasa je, city hakuna wachezaji wenye quality hiyo?
Je hakuna benchi la ufundi lenye mbinu?
Jibu ni hapana.

Tatizo ni nini?

Hakuna ari ya upambanaji kwa wachezaji wengi tuliowategemea last season(cancelo,foden,walker,laporte even kdb and bernado at some matches) na hata pep mwenyewe kalisema sana hili.

Kusema hakuna timu nakosa kumuelewa.
 
Mkuu, huyo sane na aguero msimu uliopita wakati tunaenda mechi 10+ walikuwepo?
sterling alikuwa regular starter?

Hao grealish na mahrez si ndio walikuwa ma regular starter last season?
Mkuu niamini mim ,front line ya

Grealish --haaland --- Mahrez ...

Ni Moja kati ya front line ambazo sio machachari kama zilizopita ..unajua kwanin hatuna shots on target nyingi ,Kwa sababu winger zetu Mahrez na grealish sio machachari kwenda mbele ....wale wanajua kuficha mpira mguuni na kupoza mashambulizi ili kusubili wengine waje kwenye box ,badala ya kwenda mbele man to man .....
 
Wakuu twende pole pole Kwa hii back line yetu ,huko uefa tutafika hata semi final kweli ...

Akanji -- ake-- stone ---laporte --rico --gomez--dias

Maana walker na yeye anahatihati ya kusepa , Laporte na yeye anasema hafurahishwi n pep Kwa Sasa
 
Mkuu,
huu uchezaji wa mahrez na grealish msimu uliopita ulikuwa tofauti?

unajua majukumu ya wings za city ni yapi?

Ok, hawako direct kama sane au sterling, je, sio haohao waliotupatia streak ya 10+ matches win?
 
10game win ilikuwa na influence ya bernado silva ,cancelo foden , haaland ,...... grealish na Mahrez hawakuwa kwenye form kabisa na walikuwa wanasemwa vibaya mnoo ....hii front line ya grealish -- haaland -- Mahrez imekuja baada ya kombe la dunia ,,,,baada ya foden kuumia na Bernardo silva kuwa na form mbaya
 
Wakuu twende pole pole Kwa hii back line yetu ,huko uefa tutafika hata semi final kweli ...

Akanji -- ake-- stone ---laporte --rico --gomez--dias

Maana walker na yeye anahatihati ya kusepa , Laporte na yeye anasema hafurahishwi n pep Kwa Sasa
Walker tumtumie hiki kipindi kilichobaki.

Ake..Dias..Laporte..Walker

Tukienda na hiyo tunaweza fika semis.
 
Walker tumtumie hiki kipindi kilichobaki.

Ake..Dias..Laporte..Walker

Tukienda na hiyo tunaweza fika semis.
Pep kashasema hawezi chezesha mchezaji ambaye body language yake haioneshi hali ya kupambana ,ndio maana Rico anapewa muda mwingi ...walker kama vile na yeye hana furaha na mbinu za pep za Sasa ....so sioni kama anaweza kuwa anaanza
 
Walker tumtumie hiki kipindi kilichobaki.

Ake..Dias..Laporte..Walker

Tukienda na hiyo tunaweza fika semis.
Dias Kwa Sasa hayupo on fire kabisa kama zamani ,na sijui kama anafanya mazoezi kurudi kwenye hali yake ya zamani.....saizi beki wa kumuamin ni ake ,akanji na Laporte
 
Kila mchezaji anaondoka Mwacity mnatoa kafara nn
Mkipata kombe hata moja msmu huu Ban la maisha linanihusu upara fc
 
.kama utanu vile lakin ndio hivo Tena ,...kila lakheri Joao cancelo ...

Kwa namna alivoondoka sioni kama anaweza kurudi Tena city ,[emoji1786][emoji24]
FB_IMG_16751699822952682.jpg
 
10game win ilikuwa na influence ya bernado silva ,cancelo foden , haaland ,...... grealish na Mahrez hawakuwa kwenye form kabisa na walikuwa wanasemwa vibaya mnoo ....hii front line ya grealish -- haaland -- Mahrez imekuja baada ya kombe la dunia ,,,,baada ya foden kuumia na Bernardo silva kuwa na form mbaya
Mahrez msimu uliopita hakuwa kwenye form?!!!

bernado, KDB, Cancelo, foden wote si walikuepo mpaka tunaachwa pontentially point 8 na arsenal?

kwaiyo hoja ya kusema hatuwezi kupata matokeo consistently kwa sababu mahrez anacheza hivi, grealish anacheza vile haina mantiki.

Wachezaji wengi ile desire ya kupambania uzi wa city haipo tena..na hicho ndicho kinachotutafuna.

Muangalie walker, laporte, cancelo kabla hajaondoka unaona kabisa wanacheza kwasababu wamepangwa tu, they've got nothing to fight for.

Kdb, bernado, gundo na foden nao wana haka kakirusi kwenye baadhi ya mechi.

We've got the army with experienced but unmotivated soldiers.
 
Back
Top Bottom