Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Dias akiwa kwenye form waga ni mwamba sana.Dias Kwa Sasa hayupo on fire kabisa kama zamani ,na sijui kama anafanya mazoezi kurudi kwenye hali yake ya zamani.....saizi beki wa kumuamin ni ake ,akanji na Laporte
Akisimama na laporte angalau huwa tunakuwa na solidity flani.
Walker kwenye uefa ndio perfect choice kwenye right back pep aache kukaza fuvu lewis bado hana experience kwenye mashindano makubwa kama hayo.
Unacheza na bayern, napoli au real madrid af uweke lewis kweli?